Mimi ni mpimaji wa hivi vipimo, sijagundua tatizo kwa SD Bioline (HIV1-2) Ngoja nianze uchunguzi kwa hii taarifa. Lakini hizi test za Malaria - Rapid test strips, kwa wagonjwa 117 niliowapima kwa kipimo hicho cha malaria- watatu tu ndio wameonekana kuwa na malaria, wengine 114 wolionyesha hawana malaria. Lakini hawa ambao hawakuwa na malaria, nilipotumia njia nyingine ya kipimo cha malaria (Blood slide) malaria ilionekana. Hivyo nakubaliana na hiyo taarifa.
angalia ni baadhi ya batch number za SD Bioline si zote,na si rahisi kugundua mpaka uwe na control kama ulivyofanya kwa Malaria