HATARI: Vifaa vibovu vya kupima UKIMWI & Malaria vyatumika Tanzania

Asee sasa tufanyeje?
My god nitajuaje
kama ninao au sina
hakuna vpm mbadala
kestolight haipand
tena ngoja nkalale
 
wakishatuua wote nani? Atawapigia kura?,nani? Watawaibia?,nani? Watawatumikisha? Nani watawazulumu? Tafakari
 
Mkuu wenzetu wa Kenya wamevirudisha hivyo vifaa! Inaaminika kwamba vina makosa kwa asilimia 50! Yaani 50% ya watu ambao hawana VVU wanaonekana wana VVU na 50% ya watu wenye VVU wanaweza kuonekana hawana VVU. Mbona hatari sana hii.

hapo umesema vema kabisa mwenzangu. This gvnt will kill us!
 
mimi ni mdau katika sekta ya afya,vipimo vya malaria alivyovitaja mleta uzi ni aibu kwa wizara ya afya! Hebu jiulize: wagonjwa 518 waliopimwa mwezi Nov.kituoni kwangu ni wagonjwa 3 tu walioonekana wana malaria kwa mujibu wa vipimo hivyo! Ajabu nyingine huyu mfamasia wetu ni mwizi nouma wa vifaa lakini madude haya ya malaria bado yamejaa stoo dalili kwamba hayauziki kwa Wakongo!

Mkuu unafuga mwizi? Tutapambanaje na ufisadi sasa? Au huyo mfamasia siyo fisadi? Mripoti polisi anatumalizi madawa yetu ( nadhani anafanya kazi serikalini huyo).
Anza kuitakasa ofisi yako ili tuangamize ufisadi vinginevyo tutaishia kupiga makele hapo oo kuna ufisadi kimbe nasi tunashitiki!
 
You have been in US for too long and you are forgetting how things work in Tanzania, they work by not working. Ukija nenda Muhimbili uone panavyonuka, hutaamini kama ile ni hospitali, nenda Mwanyamala hospitali au Temeke, Ilala n.k. usiombe kuingia kwenye labs. Sehemu kubwa ya dawa zinazouzwa kwenye pharmacy uwezeo wake wa kutibu ni 40% ikilinganishwa na OTC za nchi nyingine zenye drug administration department.

The fact is Afya za watu ni mtaji wa watu kujinufaisha, hata useme otherwise. Ukiwauliza wanasiasa watapiga porojo tu, mambo yataendelea. Unatakiwa kujiuliza kwanini Malaria mpaka leo inaua, na inaweza kutibiwa kwa chini ya dola 10.
Tunavyolalamika kuwa nchi yetu hovyo, we know what we mean.
Mkuu watanzania tuna afya au tunaishi kwa kudra za mwenyezi Mungu tu! Hata hayo madawa yanayouzwa huko baada ya kuibwa ni fake vilevile!
 
Mkuu wenzetu wa Kenya wamevirudisha hivyo vifaa! Inaaminika kwamba vina makosa kwa asilimia 50! Yaani 50% ya watu ambao hawana VVU wanaonekana wana VVU na 50% ya watu wenye VVU wanaweza kuonekana hawana VVU. Mbona hatari sana hii.
Hii ina maana hata mkulu alivyopima pale mnazi mmoja kuna mawili i.e. akae akijua kuwa anao au hana. Duh, Watanganyika tuna safari ndefu acha tu na hadi tufike lazime 3/4 yetu (40mil) ipotee!
 
Hivi kweli kuna sababu gani ya kiakili ya kuelezea kuwa hadi mwaka unaisha Tanzania ilikuwa haijatoa agizo lolote la kuviondoa vifaa hivi vyote vibovu sokoni?
 
Watu wameshakula ten pa mpaka mwaka 2014,hawawezi kuwagusa hasa unapokuta supplier ni mhindi,wanashindwa kuwavaa,halafu walishatuambia vipimo ni bomba wanaona aibu kurudi kufuta usemi,inaumiza sana!duh,
 
Mkuu hapa Tanzania Elimu ni kubwa mno watu wanaujua ukimwi. Viongozi wamekuwa mstari wa mbele kuelimisha watu na kuhamasisaha watu wapime kwa hiari (VCT). Hukumbuki JK na mke wake walikuwa kwenye kampeni hiyo pale mnazi mmoja wakipima na kuhamasisha watu na kauli mbiu ya Tanzania Bila Ukimwi inawezekana? Au hutaki?

Uhamasishaji ambao majibu yake hakuna ayajuaye eeeh!!! Haya bana!
 
Mkuu unafuga mwizi? Tutapambanaje na ufisadi sasa? Au huyo mfamasia siyo fisadi? Mripoti polisi anatumalizi madawa yetu ( nadhani anafanya kazi serikalini huyo).
Anza kuitakasa ofisi yako ili tuangamize ufisadi vinginevyo tutaishia kupiga makele hapo oo kuna ufisadi kimbe nasi tunashitiki!

Kweli jamaa ni mwizi sana na ana mtandao mkubwa tu....sipo katika ngazi ya kumwajibisha ila naweza kutoa taarifa sehemu husika, nipo nakamilisha vielelezo.
 
Mkuu wenzetu wa Kenya wamevirudisha hivyo vifaa! Inaaminika kwamba vina makosa kwa asilimia 50! Yaani 50% ya watu ambao hawana VVU wanaonekana wana VVU na 50% ya watu wenye VVU wanaweza kuonekana hawana VVU. Mbona hatari sana hii.
Na hizo mashine zimetumika kwa muda gani? Na ni watu kiasi gani wenye virusi vya ukimwi walipimwa nayo?

Kama kuna mtu kweli alikuwa hana VVU halafu baada ya kupimwa akaamua awe na partner mwenye "VVU" kama yeye, then hiyo ni haki kweli?

Mashine hizi zingekuwa kwenye nchi ambayo zimetengenezwa, na wananchi wa Taifa hilo wakawa na ufahamu wa haki zao, basi hii lawasuit ingeifilisi serikali na kampuni yenyewe, yani lazima kuna ambaye angewalipa hao victims...

Very sad indeed!
 
Mkuu wenzetu wa Kenya wamevirudisha hivyo vifaa! Inaaminika kwamba vina makosa kwa asilimia 50! Yaani 50% ya watu ambao hawana VVU wanaonekana wana VVU na 50% ya watu wenye VVU wanaweza kuonekana hawana VVU. Mbona hatari sana hii.

Mimi ni mpimaji wa hivi vipimo, sijagundua tatizo kwa SD Bioline (HIV1-2) Ngoja nianze uchunguzi kwa hii taarifa. Lakini hizi test za Malaria - Rapid test strips, kwa wagonjwa 117 niliowapima kwa kipimo hicho cha malaria- watatu tu ndio wameonekana kuwa na malaria, wengine 114 wolionyesha hawana malaria. Lakini hawa ambao hawakuwa na malaria, nilipotumia njia nyingine ya kipimo cha malaria (Blood slide) malaria ilionekana. Hivyo nakubaliana na hiyo taarifa.
 
Mzee Mwanakijiji,
Nimetembelea site ya WHO kuangalia kama waliondoa marking yao ktk vifaa hivyo lakini nimeona tu kwamba SD wamepewa tayari htahadhari na shirika la SD are cooperating fully... sioni mahala panasema vifaa hivyo viondolewe ama visitumike..
Source:- Bofya
 
Lakini hizi test za Malaria - Rapid test strips, kwa wagonjwa 117 niliowapima kwa kipimo hicho cha malaria- watatu tu ndio wameonekana kuwa na malaria, wengine 114 wolionyesha hawana malaria. Lakini hawa ambao hawakuwa na malaria, nilipotumia njia nyingine ya kipimo cha malaria (Blood slide) malaria ilionekana. Hivyo nakubaliana
mkuu acheni uvivu wa kutafuta diagnosis,yaani tuna tatizo la kuwabambikia watu ugonjwa wa malaria wakati sio kweli.kipimo cha malaria rapid diagnostic test ni kipimo kizuri ukitaka kujua hilo fuatilia studies zilizofanyika zanzibar.yaani ukienda dispensary kila siku utaambiwa una malaria,typhoid au UTI kitu ambacho si kweli.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom