mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,286
- 44,852
kosa ulilofanya ni kumwambia unataka kumuoa,hvy vitu vinakuja vyenyewe,yeye mwenyewe usema kama ashakupa sana penz,atatamani ndoa,
nenda kona bar utawaona wakuwaoa wengi tuHabari wakuu ni hivi nina demu wangu wa kitambo kidogo na mimi ndio nilimtoaga usichana sasa alihama mitaa yetu kuna mahali anaishi,sasa kipindi hiki nimempa ofa ya ndoa amegoma kuishi na mimi na nazani hata tabia zake ni za ajabu kwan avai nguo za stara mimi nilitaka nimbadilishe but anaonesha kureact msaada wakuu nifanyaje na mimi naitaji kuoa.
Haha haha ofa ya ndoaOfa mpe mwingine..
Habari wakuu ni hivi nina demu wangu wa kitambo kidogo na mimi ndio nilimtoaga usichana sasa alihama mitaa yetu kuna mahali anaishi,sasa kipindi hiki nimempa ofa ya ndoa amegoma kuishi na mimi na nazani hata tabia zake ni za ajabu kwan avai nguo za stara mimi nilitaka nimbadilishe but anaonesha kureact msaada wakuu nifanyaje na mimi naitaji kuoa.
Teh..Shem kuolewa imekuwa ofa siku hizi..Sijui kama ww umeshapewa tayariHaha haha ofa ya ndoa
Hahaaa...ofaOfa mpe mwingine..
me hata siitaki hiyo ofaTeh..Shem kuolewa imekuwa ofa siku hizi..Sijui kama ww umeshapewa tayari
Habari wakuu,
Ni hivi nina msichana wangu wa kitambo kidogo na mimi ndio nilimtoaga usichana sasa alihama mitaa yetu kuna mahali anaishi.
Sasa kipindi hiki nimempa ofa ya ndoa amegoma kuishi na mimi na nadhani hata tabia zake ni za ajabu kwani avai nguo za stara mimi nilitaka nimbadilishe but anaonesha kureact.
Msaada wakuu nifanyaje na mimi nahitaji kuoa.
Unataka kulazimisha ndoa kwa mrembo ambaye hana mapenzi nawe Mkuu!?
Tafakari kwa kina usije kubaki na majuto mjukuu.