Hataki kuolewa na mimi msaada tafadhari

Ukiona mtu kakukataa means kaona haumfai..tafuta mwingine. Ila ndoa sio tusker mkuu
 
Mkuu sasa mtu hakutak ww unalazimisha umuoe!! Usijitafutie matatizo kwe maisha yako ya ndoa
 
Tatizo wanawake wengi hawapendi kubadili staili ya maisha ghafla,inaelekea kuwa unataka kumbadilisha kwa nguvu,ushauri wangu ni kwamba jifanye mpole kwa mwanamke kisha tangaza ndoa kama alivyo.Bandika mimba fasta..akishajifungua ndio uanze kumbadilisha anakuwa hana ujanja.
 
ulivyoandika unampa ofa imereflect tabia zako zakujiona dhahabu sana inshort kakuchoka mitabia yako.
 
Nyuzi kama hizi napenda sana Dada rubii awe anazijibu coz huwa anatoa majibu simple and clear.....so msubiri rubii aje akupe jibu zuri
 
Habari wakuu,

Ni hivi nina msichana wangu wa kitambo kidogo na mimi ndio nilimtoaga usichana sasa alihama mitaa yetu kuna mahali anaishi.

Sasa kipindi hiki nimempa ofa ya ndoa amegoma kuishi na mimi na nadhani hata tabia zake ni za ajabu kwani avai nguo za stara mimi nilitaka nimbadilishe but anaonesha kureact.

Msaada wakuu nifanyaje na mimi nahitaji kuoa.
Siamini kama wanaume wa siku hizi ni mabox kiasi hiki!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom