Hata kwenu wapo hawa?????

well said aisee

binafsi naita huo ni uchafu... Utaandaliaje wengine chakula wakati hujaoga, hujanawa, domo limevunda, kwapa ndio usiseme, halafu kibaya zaidi mtu unakuta amevaa kanga moja, minywele kaiachia kila kona

pufffffffff

hehehehehe na asubuhi ya kesho lazma umuone mmoja
au unaishi masaki teheteheeee tena atakuwa anaswaki huku ana dalili za kutapika wkt weye wapiga tea .pole mkuu
 
Nilishawahi kwenda mtembelea mtu....akanikaribisha chakula cha mchana....wakati anaendelea kupika...mwanae akajisaidia....basi bi dada kaenda kumuhudumia mwanae....kamuosha vizuri then akaja kukamua nazi.....nilituma msg kwa rafiki yangu saa hiyo hiyo anipigie simu ya dharura.....nikaondoka.....

kwetu uswahilini unaenda asubuhi dukani kununua maziwa....muuzaji anakuja kukupimia huku anapiga mswaki.....

unakwenda kununua mandazi....mama muuza ana paka....paka anazunguka karibu na mandazi...anamshika anamtupa kule....halafu anaendelea kukuhesabia mandazi kwa mikono.....
 
mimi huwa nina kinyaa na wamama wenye watoto wachanga mpaka leo...
 
Nilishawahi kwenda mtembelea mtu....akanikaribisha chakula cha mchana....wakati anaendelea kupika...mwanae akajisaidia....basi bi dada kaenda kumuhudumia mwanae....kamuosha vizuri then akaja kukamua nazi.....nilituma msg kwa rafiki yangu saa hiyo hiyo anipigie simu ya dharura.....nikaondoka.....

kwetu uswahilini unaenda asubuhi dukani kununua maziwa....muuzaji anakuja kukupimia huku anapiga mswaki.....

unakwenda kununua mandazi....mama muuza ana paka....paka anazunguka karibu na mandazi...anamshika anamtupa kule....halafu anaendelea kukuhesabia mandazi kwa mikono.....

khaaaaaaa! Bibie hujambo?
 
ugomvi wangu uko kwenye Facebook. Utakuta mtu anaku-add. Simjui, hanijui na kama mtu hanijui wala simjui huwa na-decline. Anajaribu tena kuni-add. Na-decline tena, na tena. Yaani inakuwa kero hadi naamua sasa enough! Nam-block!!
 
Boss
Hii nyingine inanikera pale jamaa alienda majuu kakaa US sijui miaka 7 tu karudi basi hiyo accent ya kiswahili eti nayo imebadilika kwa saaaanaaaaa. Yaani ni kichekesho pale at times anajisahau huwa anaongea kiswahili bila accent yoyote ndipo unatake note hii accent ni ya kujitakia. Halafu kuna watu walilowea US toka 1960's and 1970s na wanaishi huko hadi leo hii na wakijakutembea bongo once in a while mnakaa nao kupiga lager kiswahili chao murua tuu na hakina accent za kujitakia
Misifa ya kijinga
 
afadhali hiyo
unaona kwenye tv mtu anaulizwa swali kwa kiswahili,anajibu kwa kiingereza
halafu kiingereza chenyewe ovyo ovyo...
 
Back
Top Bottom