Hata kwenu wapo hawa?????

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,885
Wapo watu ,anaweza kuwa mke/mumeo au mwanao au ndugu yako au
office mate /house mate na kadhalika lakini wana tabia ambazo mimi huwa
naziita 'very interesting'.......mfano..

uko sebuleni unatazama tv ,anakuja na kubadili channel
na pengine atakwambia 'taarifa ya habari saa hizi'....halafu huyo
anatoka nje au anaingia chumbani/jikoni kuendelea na shughuli zake.....lol....

mwingine anakuja na kuzima ac/feni oficin au nyumbani ulipo wewe
halafu huyo anaendelea na shughuli zake na kukuacha na joto zaidi
au mwingine anaongeza feni/ac na kukuacha na baridi zaidi lol....

mwingine mnatazama taarifa ya habari halafu anakuuliza wewe maswali
kama wewe ndo 'uliyesoma hiyo taarifa ya habari' wakati na yeye alikuwepo mwanzo mwisho...lol

mwingine atakuwekea kipindi cha dini kwenye tv halafu huyooo
anakuacha wewe unaendelea kutazama...lol

mwingine ........mnaweza kuendelea ......
 
Ama mwenza anaingia bedroom late,anawasha taa afu anaenda sebuleni ama jikoni kula,lol
Au kuna mtu anakuja anakuta unaangalia tv,anasimama mbele ya tv na kukuuliza anachokiona yeye. Dawa yake unamuambia siku hizi u ar nt transparent ujue..
Mko kwenye gari ya ofc,safari ndefu afu mtu anajiwahisha kukaa mbele na hataki ac iwashwe coz yeye anaskia baridi
 
upo umelala halafu mwingine anatoka anakotokea anafungua radio kwa sauti ya juu na ni asubuhi hapo huna hata mpango wa kuamka.....hii huwa inanifanya nitake kuzirusha.......
 
au mtu anang'ang'ania kukaa dirishani halafu anafunga dirisha
eti upepo mkali
 
upo umelala halafu mwingine anatoka anakotokea anafungua radio kwa sauti ya juu na ni asubuhi hapo huna hata mpango wa kuamka.....hii huwa inanifanya nitake kuzirusha.......

mwingine anafungua dirisha jua linakupiga usoni na wewe huna mpango wa kuamka lol
 
Mtu anakukuta unaangalia kipindi kwenye tv bila kuuliza anabadilisha channel huku akisema ''kuna movie/kipindi kizuri kinaanza''.
Asubuhi kila mtu ana haraka zake alafu mmoja anakaa chooni mwaka.
Mwingine akiamka mapema lazima nyumba iamke kwa usumbufu...alafu yeye anarudi zake kulala..

.................................
 
inaonekana watu hawa wamejaa kila nyumba kumbe lol
 
Wapo watu ,anaweza kuwa mke/mumeo au mwanao au ndugu yako au
office mate /house mate na kadhalika lakini wana tabia ambazo mimi huwa
naziita 'very interesting'.......mfano..

uko sebuleni unatazama tv ,anakuja na kubadili channel
na pengine atakwambia 'taarifa ya habari saa hizi'....halafu huyo
anatoka nje au anaingia chumbani/jikoni kuendelea na shughuli zake.....lol....

mwingine anakuja na kuzima ac/feni oficin au nyumbani ulipo wewe
halafu huyo anaendelea na shughuli zake na kukuacha na joto zaidi
au mwingine anaongeza feni/ac na kukuacha na baridi zaidi lol....

mwingine mnatazama taarifa ya habari halafu anakuuliza wewe maswali
kama wewe ndo 'uliyesoma hiyo taarifa ya habari' wakati na yeye alikuwepo mwanzo mwisho...lol

mwingine atakuwekea kipindi cha dini kwenye tv halafu huyooo
anakuacha wewe unaendelea kutazama...lol

mwingine ........mnaweza kuendelea ......

Lack of class!!
 
mengine unaangalia movie lenyewe linahadithia
kila part mpaka unaona hakuna haja ya kuangalia tena

jirani anakuja kuangalia tv kwako anashika yeye remot anabadilisha chanel mwanzo mwisho
aghrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
anakusimulia kabla halafu hiyo ecene ikifika anakwambia
'si nilikwambia unaona' lol
 
Umeagiza beer bariiidi analeta ya moto kisha anaifungua wakati koo limekauka!Lol
 
Nakuambia!maisha ni kuvumiliana. La sivyo unageuka chizi. Mwingine umefanya usafi kila mahali,kila kitu kiko in place sparkling, afu anakuja anatupa taulo alilojifutia kitandani (in case chumbani), ama anakuja anatumia glass afu anaacha kwenye sink (in case jikoni) hizi najua the boss zinakuhusu moja kwa moja hahaha

Back
Top Bottom