Hata kwenu wapo hawa?????

Lol,u try me! Sometimes I feel like a witch! Na its nt that comfortable unajua,unafika kwa watu unapewa soda na glass unaanza kusema mi ntapiga tarumbeta.na glass zetu za kuosha na komoa na kipisi cha saflet?kha!
I don't think there is anybody out there that can beat me in being observant! But most of the time people don't even think I am because I know how to keep it to myself.
 
Lol,u try me! Sometimes I feel like a witch! Na its nt that comfortable unajua,unafika kwa watu unapewa soda na glass unaanza kusema mi ntapiga tarumbeta.na glass zetu za kuosha na komoa na kipisi cha saflet?kha!

That's why I prefer plasticware to silverware...
 
Back to the topic:
Kuna mtu mmekaa juu ya meza, anataka akukatie ugali KWA MKONO na auunde shape ya duara ukiwa kwenye sahani yako... kama sio mama yangu don't even dare! na hata mama hajafanya hivo since I was 5 I think!
 
mimi nina majirani zangu walokole huku nilipo basi hao walokole wa Ki Nigeria ikifika asubuhi sana wanaanza kusali basi hizo kelele zao ukitaka usitake utamka wanapiga kelele kusali utafikiri huyo mungu wao wanayemuomba kiziwi hasikii basi hizo kelele zao ukitaka usitake utaamka uende kwanza chooni nimejitahidi kuwaambia waache kupiga makelel waombe taratibu ,lakini wapi wanaacha siku moja wana rejea siku inayofuata. Mimi huwa nawaita (Nigerian good who die) Mnigeria mzuri ni yule aliye kufa.
 
Plasticware nt for home! Sasa mie ukichanganya na a sensitive sense of smell,ni balaa. I can smell somebody's mouth kwenye glass,lol

In my home I have both plastic and silver! The same goes for cups and plates. I always have plastic cups and paper plates. What a considerate host I am!
 
U surely ar,lol! I will try paper cups. How do u ask ur guest which one they prefer?u u just splatter them out,lol

How do you ask? Very simple...you just set both of them on the table and say 'please help yourself'.
 
La haula wala quata! nimeiona, alianza kama mchezo, akacheki left, cheki right, all clear then he ate it kwa kuficha mdomo... alafu just net unampata akitoa manyoa kwenye armpit, anayanusa, and anayatafuna... Huyu mtu ni wa ajabu sana!
kuanzia leo nitakua nasalimia watu kwa kiss la shavuni. no touching hands![/COLOR]

Cheki Gordon Brown

Gordon Brown picking his nose - YouTube
 
Mimi kwetu nawachukia wanaojisajili na multiple IDs, wanaanzisha thread halafu wanaishia kujijibu wenyewe. Sasa sijui ni ujanja au inatokana na upweke.
 
Au mtu mko stendi anakasirika jua kali halafu wewe umesimama kwenye kivuli chake....
 
Umeagiza kiti moto nusu kilo na ndizi mbili, ile kinafika tu jamaa anavamia bila kukaribishwa halafu akimaliza anaondoka bila hata kuagiza kingine... inanikera sana hii, ndo maana siku naenda mbali sana kula kitimoto. Sinza siji tena.
 
Acha uchoyo.....lol!
 
Back
Top Bottom