Hasira ni kichaa cha mudahabari zenu wana-jamvi!
Eti unawezaje kumshauri mtu jinsi kupunguza hasira(i mean kukasirika haraka au hasira kali) na kuwa na wivu kupindukia hasa ktk mapenzi??..nawasilisha.
Mtu mwenye hasira mwambie ajue kosa analofanya binadamu mwenzake kesho atarudia kufanya yeye pia hasira ni dalili kubwa za kutojiamini na kuficha kutojiamini Huko nyuma ya kitu Fulani kama pesa au mamlaka au mapenzi fake.Mtu mwenye wivu kupita kiasi mwambie mapenzi ni sawa na usiku Wa kiza Kwani huwezi kujua kilichopo ndani ya moyo Wa mwenzako bali utaishi kwa kuhisi. Ni ujinga kuwa na wivu Wa kupindukia kwa jambo unaloamini kwa kuhisi. Mwambie asubiri siku tutakayoweza soma yaliyomo katika mioyo ya wapenzi wetu.habari zenu wana-jamvi!Eti unawezaje kumshauri mtu jinsi kupunguza hasira(i mean kukasirika haraka au hasira kali) na kuwa na wivu kupindukia hasa ktk mapenzi??..nawasilisha.
Ulichosema hapa nakikubali Chauro! Mawazo hasi juu ya mwenzio huwa yanaishua kukuuimiza mwenyewe tu! Its a good learning which I will appreciate ever! Wivu hauwezi kuisha kwa mtu umpendaye ila tu basi sio ndo hata bila sababu za msingi basi ushajiskia wivu! (ngumu aisee kutoona wivu kwa umpendaye) Unaweza kupata uchizi bure, kujiweka roho juu kila wakati.Hata mimi kuna kipindi nilikuwa na tatizo unalosema,lakini nipogundua nina negative nyingi kuliko positive ilinisaidia sana...........nilikuwa hata nikipiga simu isipopokelewa hasira ,akichelewa hasira yani toka nimejifunza amechelewa ni story zilinoga walaaaa.
Mbu said my point!
Ntakununulia doom...
hhha hha,...unataka kuni Restisha-In-Peace?
Mkumbushe jamaa, Hasira na Hasara vinaendana pamoja.
haha mkuu umenichekesha..nashukuru kwa mchango wakohiyo rahisi, dawa ya hasira ni kiburi+jeuri, mtu mwenye hasira za ajabu ajabu anatakiwa akutane na watu kama 20 wenye jeuri na kiburi ya kutosha, ikitokea ni wapenzi wake atajuta kuzaliwa, mwisho wa siku ataona bora awe priton ndani ya pipa.
huu ni ukweli kabisa..lkn wivu nao ukizidi sana inakuwa karaha.Ulichosema hapa nakikubali Chauro! Mawazo hasi juu ya mwenzio huwa yanaishua kukuuimiza mwenyewe tu! Its a good learning which I will appreciate ever! Wivu hauwezi kuisha kwa mtu umpendaye ila tu basi sio ndo hata bila sababu za msingi basi ushajiskia wivu! (ngumu aisee kutoona wivu kwa umpendaye) Unaweza kupata uchizi bure, kujiweka roho juu kila wakati.
nashukuru kwa mchango wako its vry helpfulMtu mwenye hasira mwambie ajue kosa analofanya binadamu mwenzake kesho atarudia kufanya yeye pia hasira ni dalili kubwa za kutojiamini na kuficha kutojiamini Huko nyuma ya kitu Fulani kama pesa au mamlaka au mapenzi fake.Mtu mwenye wivu kupita kiasi mwambie mapenzi ni sawa na usiku Wa kiza Kwani huwezi kujua kilichopo ndani ya moyo Wa mwenzako bali utaishi kwa kuhisi. Ni ujinga kuwa na wivu Wa kupindukia kwa jambo unaloamini kwa kuhisi. Mwambie asubiri siku tutakayoweza soma yaliyomo katika mioyo ya wapenzi wetu.
Wivu peke yake hausumbui lakini unapozidi na kunyimwa uhuru inaboa..., alafu si ukweli kwamba wivu ndio unaonyesha upendo, mwingine anapenda tu ile possession hata kama hakupendiwatu tunaongea tu
but ukijua mwenzio ana wivu juu yako inatia raha
Alaah hivo eeh?Ss wengine wivu wetu hadi unakua nuisance aisee! Lakini kwa kweli kama humpendi mtu wivu unatoka wapi? Sema tu kiasi sijui ni kipi?Btw: wivu na hasira lazima viende pamoja?watu tunaongea tubut ukijua mwenzio ana wivu juu yako inatia raha
Alaah hivo eeh?Ss wengine wivu wetu hadi unakua nuisance aisee! Lakini kwa kweli kama humpendi mtu wivu unatoka wapi? Sema tu kiasi sijui ni kipi?Btw: wivu na hasira lazima viende pamoja?