hasira+wivu...

wivu tu bila hasira ndo rahamimi mwanamke asieniuliza kwa nini msichana fulani anakuchekeachekea ntaona hanipendi..mwanamke akiwa na wivu anakuwa more sexy
Sasa akichekewachekewa hapo napata wivu na hasira juu...lol!
 
Lakini kwa kweli kama humpendi mtu wivu unatoka wapi? Btw: wivu na hasira lazima viende pamoja?
Unaweza ukampenda mtu na usione wivu (sababu unamuamini na hakupi sababu za kijinga za wewe kuona wivu)..., well wivu na hasira ni vitu viwili tofauti na sio lazima viende pamoja..., tena mwingine ndio akiona wivu anazidi kuwa mpole na kuongeza mapenzi ili asimpoteze mwenza wako....

Sababu hasira if anything ndio zitamkimbiza zaidi
 
Unaweza ukampenda mtu na usione wivu (sababu unamuamini na hakupi sababu za kijinga za wewe kuona wivu)..., well wivu na hasira ni vitu viwili tofauti na sio lazima viende pamoja..., tena mwingine ndio akiona wivu anazidi kuwa mpole na kuongeza mapenzi ili asimpoteze mwenza wako....Sababu hasira if anything ndio zitamkimbiza zaidi
Kwenye tofauti nimekuelewa kiasi.Hapo kwenye wivu unachosema ni kwamba wivu unasababishwa na kutomuamini eeh?
 
Kwenye tofauti nimekuelewa kiasi.Hapo kwenye wivu unachosema ni kwamba wivu unasababishwa na kutomuamini eeh?
Point yangu ni kwamba wivu unasabishwa na imani kwamba unaweza kumpoteza akakuacha au akawa anashare penzi lako na mwingine au hakupendi sana.... yaani (you are not or you might not be the only one)... Yaani humuamini yeye au hujiamini mwenyewe kwamba unaweza ukawa mtu tosha na pekee kwa mwenza wako

Lakini ukiwa una imani kwamba hawezi kugawa penzi lako na anakupenda sana basi kutakuwa hakuna sababu ya wivu, pia asipokupa sababu kama kuchichanganya na wengine na kuonyesha ukaribu na mtu mwingine (ambao wewe unaweza ukauchukulia vingine)
 
VOR nimekusoma, shukrani!

Positive thinking ndo dawa yake! Ukianza kudhani dhani tu inakupa tabu nafsini na unaweza kuharibu mahusiano yako.
 
VOR nimekusoma, shukrani!

Positive thinking ndo dawa yake! Ukianza kudhani dhani tu inakupa tabu nafsini na unaweza kuharibu mahusiano yako.

nakuaminia hapo
beauty,honesty and truthfull
 
Back
Top Bottom