Napata Wivu Nikiona Watu Wako kwenye Mahaba

MaT2B

JF-Expert Member
Jul 12, 2019
387
969
Habari za sasa wakuu.

Nikutanapo na wawili( Me na Ke) wako kwenye mahaba au mapenzi motomoto, napata wivu mkubwa sana.

Wakati mwingine hadi hasira huwa zinanikaba( Hasira za kujiuliza kwanini mimi sina?)

Ila ndio hivyo zinatulia, naishia kuwaonea gere.

Binafsi mimi sijawahi kuwa na kwenye mapenzi motomoto.

Nipo kila nikijaribu, sibahatiki. Sijui kuna mtu kaniroga, wadada siwapati.

Haiba yangu, mimi ni mkimya na mpole( introvert?).
Sina mambo mengi si mtu wa marafiki wengi.

Uvaaji wangu ni wa kawaida tuu( jeans, tshirt, shirts, laba n.k).
Kama kungekuwa na mtaalamu wa haya mambo ningelipa consultation fees.
 
Kuwa Mpole haimaanishi usiwe na demu , mimi mpole na sio muongeaji sana kwa watu ambao sina mazoea nao ila nina demu mkali na yeye demu wangu anashangaa nilimtongozaje wakat alikua ananiona mimi mpole
20230519_173130.jpg
 
Habari za sasa wakuu.

Nikutanapo na wawili( Me na Ke) wako kwenye mahaba au mapenzi motomoto, napata wivu mkubwa sana.

Wakati mwingine hadi hasira huwa zinanikaba( Hasira za kujiuliza kwanini mimi sina?)

Ila ndio hivyo zinatulia, naishia kuwaonea gere.

Binafsi mimi sijawahi kuwa na kwenye mapenzi motomoto.

Nipo kila nikijaribu, sibahatiki. Sijui kuna mtu kaniroga, wadada siwapati.

Haiba yangu, mimi ni mkimya na mpole( introvert?).
Sina mambo mengi si mtu wa marafiki wengi.

Uvaaji wangu ni wa kawaida tuu( jeans, tshirt, shirts, laba n.k).
Kama kungekuwa na mtaalamu wa haya mambo ningelipa consultation fees.
Pole kwa kuwa na wivu tafuta wakuendana wewe
 
We unapata wivu kisa Mwanamke duuh!!

Ukiwa single ndo akili inakuwa inawaza Mambo kwa utulivu then hakuna kitu Cha maana utapata kutoka kwa mademu zaidi ya stress,kuharibu pesa zako magonjwa ya ngono n.k

Tumia mfumo wa one night stand tu Mimi nilikuwa Kama wewe siku nimepata demu akawa anapiga simu hovyo sms kibao usumbufu wa kulazimisha kuja ghetoni kwangu Sehemu takatifu no nilimpa bloko nilichojifunza Mimi Kama introvet sihitaji usumbufu hasa was wanawake ambao most of them , they have nothing to offer than sex , so i used to be in illussion .

Now I'm thanks God I'm matured enough .

Sex is overrated
Marrige is scam
Musturbation is sin

All I need is to stay safe and wait my fate.
 
Back
Top Bottom