mtetezi wake eeeeh,,,haamanishi ivo,,,,,siangeonyesha mabomba na koleo,,,,jk,anatekeleza masharit ya cameroon,,,,,ndio ya kuchanganya wapinzan,,,hii niliisikia sana kipindi kile ananyoa ,,o,,,wakamyima ubunge vunjo,Hapo kila kit kiko wazi kuwa umwagiliaji maji ambao umefanyika hapo ni kazi ya engineer wa maji Kama Mbatia, ila yeye Matia anaikimbia hiyo kazi kwa fedha za ccm