Ambari: Mbatia aliwahi kuhongwa Ubunge wa EALA na CCM akampa dada yake

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,131
Kiongozi mkongwe wa NCCR mzee Ambari anasema wamemvumilia sana James Mbatia lakini sasa imetosha

Ambari anasema Mbatia aliwahi kula njama na CCM ili dada yake apigiwe kura za ubunge wa EALA na wabunge wa Lumumba na alifanikiwa

Huyu Mbatia ndio aliwafukuza akina Lyatonga Mrema, Kafulila nk amesema

J4 Ubarikiwe sana!
 
Awamu ya 5 iliuwa kabisa Upinzani
Yeah, way back then wapinzani walikuwa hatarini kutoweshwa. Kunusuru maisha yao, tulikuja na mpango wa kuwanunua.
Huwa nawashangaa wapinzani wanaobeza mpango wa manunuzi.
It was the only rescue package we had come up to rescue them. Ulikuwa ni mpango mahususi wa kuhakikisha 'at least wanabaki hai', japo wengine wangepoteza fursa.
Wapinzani wanapaswa kumshukuru Pole pole, Bashiru et al kwa kutekeleza mpango huo.
Otherwise the other options were much much worse than u think... Wengi wao walikuwa aligned kubambikwa makesi na wengine kufungwa maisha...
Manunuzi ya upinzani, ulikuwa mpango mahususi wa baadhi ya wana chama wa chama tawala wapendao haki na demokrasia 'kuwaficha wapinzani kwenye mahandaki', hadi kipindi kibaya kipite.
Kina Lissu walikataa kufichwa kwenye handaki. Mnaona kilichowapata...
 
Mbatia na dada yake

Zitto Kabwe na dada yake

Tundu Lisu na dada yake

Ndesa na mwanawe

Dr Slaa na mkewe

Siasa za Upinzani bhana!
Ongezea hawa bwashee,
Kikwete, mkewe na mtoto

Bulembo na binti yake

Makamba na mwanae

Nnauye na mwanae Nape

Mwinyi na wanae

Samweli Sita na mkewe

Ndugai na mkewe DED

Pinda na mwanae

Lowasa na mwanae

Kigoda na Kombani ubunge wameridhi watoto,
Vipi niongeze wengine bwashee
 
Ongezea hawa bwashee,
Kikwete, mkewe na mtoto

Bulembo na binti yake

Makamba na mwanae

Nnauye na mwanae Nape

Mwinyi na wanae

Samweli Sita na mkewe

Ndugai na mkewe DED

Pinda na mwanae

Lowasa na mwanae

Kigoda na Kombani ubunge wameridhi watoto,
Vipi niongeze wengine bwashee
Freeman na babamkwe

Nchi ngumu sana hii
 
Mbatia na dada yake

Zitto Kabwe na dada yake

Tundu Lisu na dada yake

Ndesa na mwanawe

Dr Slaa na mkewe

Siasa za Upinzani bhanaKikqeikq

Freeman na babamkwe

Nchi ngumu sana hii
Nilitaka kuandika hii ikawa umeniwahi!
Fuatilia viongozi wote wa chama na serikali kama hawana transfer kwa watoto wao!
Nina wasi was jf imeingiliwa na kizazi Cha Facebook ambacho thinking na reasoning Yao ni sifuri na tukiendelea hivi Kuna ule msemo "wajinga wakiwa wengi katika nchi IPO siku watachagua Rais"
 
Back
Top Bottom