Hashimu Rungwe: Mbatia ni Kibaraka wa CCM na ni Dikiteta Kulinda Maslahi ya CCM!!!

Mbatia ni.....

mpunga.JPG

hahaaaaaaa nimeipenda sana hiiii
 
Du huyu jamaa si alifukuzwa chuo UDSM,huo uinjinia wa maji kausomea wapi? Au rwegarulila water institute(chuo cha maji)?
 
Hicho kiswahili chako, nakuomba urudi shule ukajifunze Kiswahili.
 
HASHIMU RUNGWE AMESEMA JEMUS MBATIA NI KIBARAKA WA CCM NA NI DIKITETA Mgombea wa Urais Mwaka 2010 Hashimu Rungwe amesema Jemus Mbatia ni Kibaraka wa CCM, kwa kuwa wakati wa Uchaguzi alimwambia yeye kama mgombea wa Urais asimushambulie sana Mgombea wa CCM Jakaya Mrisho Kikwete bali afanye hivyo kwa Mgombea wa Chadema Dr. Wilbroad Slaa. Kauli hiyo ya Mbatia ilimusababisha Rungwe ambaye ni Mwanasheria Kitaluma Kumwamwandia barua Mbatia Kutaka Ufafanuzi Zaidi, Lakini Mbatia Huyohuyo amepanga kumufukuza Uanachama. Tayari Rungwe amesha tangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa NCCR kumutoa Mbatia!!! Rungwe anasema Mbatia anaendesha NCCR kidikiteta kwa Maongozo ya CCM na hataki Mawazo ya Upinzani kujenga Chama kwa maslahi ya Taifa. Anasema Mbatia ni injinia wa maji kitaluma lakini hataki kufanya kazi ya taluma yake kama yeye anavyofanya kazi ya uwakili na kuchangia NCCR . Anasema akina Prof. Lipumba ni Wanataluma , akina Tundu lisu ni wanataluma, Akina Mabere Marando ni Wanataluma, lakini wote pamoja na kutumikia vyama vyao wanafanya shughulin za taaluma zao na kujipatia fedha zinazo inua vyama vyao. Sasa tatizo la Mbatia hajawahi kufanya shughuli yoyote ya taluma yake tangia apate nafasio ya uenyekiti lakini amekuwa na matumizi makubwa katika chaguzi mbalimbali ambazo wakati wote wa kampeni amekuwa akiwataka Wana NCCR kutowasema vibaya CCM na viongozi wake ambao ni wafadhili wake!!! .Tatizo la Mbatia ni kukaa kijiweni makao makuu na kutaka anyenyekewe kama mungu mtu na hata anapohitaji pesa kutaka kwa wabunge anafanya hivyo kwa udikiteta na wanapo mhoji anawajengea Chuki na kupanga njama za Kuwavua uongozi kabla ya kunyang'anya kadi za uanachama. Yupo Mbunge ambaye amemkopesha pesa zaidi ya 80m ambaye kwasasa ndiye silaha yake!!!. Mbatia ni Mshamba anadai yeye ni Mhandisi wa Maji Mbona hatumuoni akifanya kazi ya Uhandisi Wa Maji??. Hashimu Rungwe amemtaka Mbatia kujipanga na kunandaa Ushahidi kwenye kikao cha feb,2012 na sio kuendesha udikiteta na mbinu za kitoto za kuwafukuza wanao daui haki ya kugombea NCCR.
Hashimu Rungwe amesema Mbatia katika Nyakati Tofauti amekuwa akisaini Cheki za 80m Kwa Mara nne kutoka kwa Watu wa CCM na kuendesha siasa za kuimarisha CCM zinazoua NCCR na kwamba harakati zote za kufungua Kesi dhidi ya Halima Mdee zimetokana na fedha hizo!!

Amesema Mbatia hana Kazi yoyote ya kumupatia kipato zaidi ya kupewa na CCM na omba omba ya Wabunge walio madarakani ambapo amejenga Chiki ya kuwafukuza wanao mpinga!!



Wewe Muha toa Huha wako hapa, kwanza kajifunze Kiswahili ndio uanze kuandika!!! Huyo Rungwe alikuwa wapi kuyasema hayo, hadi anasubiri yamkute yaliyo mkuta? AKILI ZA KUAMBIWA, CHANGANYA NA ZAKO!
 
Story inaeleweka bana!!
Mwandishi ametumia Style ya Gazeti la Majira ambapo majina ya Kizungu yasiyotafsirika hua yanaandikwa kama yanavyotamkwa!!
Sasa wabongo kwakua kila kitu mnajua basi kazi kukosoa tu!!!
 
Kama mambo yenyewe ndo haya tunaweza jikuta hatuna vyama vya upinzani
 
[h=2]Uteuzi wa Mbatia zaweza kuwa Mbinu Chafu za CCM[/h]
Ha ha ha ha ha ha ha! Au ndio utekelezaji wa masharti ya Cameroon? Si unajua kuna vuguvugu kali sana likichagizwa na mataifa makubwa kwamba haki za wale jamaa zitambuliwe hadi kwenye vyombo vikuu vya maamuzi ya nchi kama sharti mojawapo la kupewa misaada? Unafikiri hali ya kiuchumi ilivyo bila misaada kuna kitu?

Mimi nina mashaka sana na hii tekniki aliyotumia JK kuwafumba macho wazungu kwamba Tz inaheshimu sana haki zao - tazameni hata mjengoni wamo! Wallahi tumikwisha! Huu umaskini utakuja tufikisha pabaya bandugu. Haki ya mama tutaanza kusikia miswada ya kise*** mjengoni.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom