Kamanda unaongelea Hasheem yupi? Maana Hasheem wa MEM amecheza dk 42 so far na ana vikapu viwili tu! ( 4 points). Marc Gasol gemu na Blazers amepiga points 20 peke yake sasa hapo sijui tusemeje? Blocks anajitahidi lakini bado sana!
Kiukweli dogo inabidi akaze buti kama anataka ku-establish jina ktk NBA.
kueleweshana ndio mwanzo wa kujua mambo, nashukuru kwa kunifahamisha kiundani kuhusu habari ya hashim.nipo bongo hapa sipati habari za kutosha kuhusu performance yake huko NBA,ila namtakia mafanikio mwanzo wowote huwa mgumu, nahope at zoea NBA nakufanya vizuri