Hasheem Thabeet's Journey In The NBA

Hii mkuu nadhani itabidi...pamoja na bendera za Bongo.
Tafadhali msilete za CCM ndani ya Dome!

Hahaha hukusikia wanadai kuwa sera za CCM ndio zilimfikisha hapo...Hapo dawa unakwenda na bendera ya bongo na bango limeandikwa kwa kiswahili alafu unakaa nyuma ya rim.
 
Ndo maana nilieka hio nukuu hapo maana nasikia walikua wanasema eti
"kijana wetu"
 
naomba kuuliza maendeleo yake yako vipi yaani mchango wake kwa timu yake?
 
Hasheem Thabeet leo/jana kafikisha season high 10 points ktk gemu at Phoenix Suns. Wamewagalagaza akina Nash na Grant Hill 128-123 ktk backyard yao. Hasheem had two blocks, one of the 'not reachable' against the mighty Amare Stoudemire. Habari ndo io, kijana anatia matumaini kidogo.
 
Hii hapa ina-build confidence ya jamaa...amesteady na Amare mwenyewe ndani ya paint. Good luck Hasheem.

577cfadd0a0a40ba84a758afb81d5471-getty-90043013bg014_grizzlies_suns.jpg

Mwalimu nimeona picha. Actually my bad MEM wameshinda by 25 points.

Leo wamemuwasha Portland Trailblazers 109-105 and that closes
a 13-1 run. Naamini watakua poa tu msimu huu hawa Memphis Grizzlies.
Meanwhile pokea hii mwanetu akifanya 'ki-dunki'...

c6be49384a586eeb42a88f770d64bdca-getty-90042437jm012_wizards_grizz.jpg
 
Grizzlies wanashine. Nimeona jinsi Zac anavyowatoa. Jamaa anastahili kuwemo kwenye all star na Rudy Gay. Hawa wako safi.
 
Dogo atafika mbali ,timu yake mwanzo ilianza kwa kuchechemea now mambo poa
 
Back
Top Bottom