Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
Get well soon Hasheem
Ukome...
Wivu tu! Miafrika ndivyo tulivyo!
Ukome...
Ukome...
Hashim kitu amenifurahisha ameanza ku score, hiyo itampa confidence kubwa kuendelea na moto wa ku score, kitu muhimu kwa any player awe basketballer or footballer ni ku score, maana unakuta mchezaji amesajiliwa na inapita muda haja score ina mletea matatizo ya kisaikolojia
Kamanda unaongelea Hasheem yupi? Maana Hasheem wa MEM amecheza dk 42 so far na ana vikapu viwili tu! ( 4 points). Marc Gasol gemu na Blazers amepiga points 20 peke yake sasa hapo sijui tusemeje? Blocks anajitahidi lakini bado sana!
Kiukweli dogo inabidi akaze buti kama anataka ku-establish jina ktk NBA.
mwambieni ajiunge JF asome pole zetu, aache utozi dogo...pole kijana, ndo uanaume huo!!
Tangu season imeanza hajaonyesha makali kama rookies wenzake walivyoonyesha kwenye timu nyingine na hasa ukizingatia kwamba alikuwa second pick. Inabidi atuonyeshe kwanini alikuwa second pick. Ni center ambaye ana advantage ya urefu na mwili pia.
Kumlinganisha na Marc Gasol tutakuwa hatumtendei haki kwa kuwa Marc Gasol alishacheza ligi ya Basket ya Spain kabla ya kuja huku US na tayari hapa US ana seasons 3 kama sikosei. Tumpe kijana muda zaidi, atuonyeshe kwanini aliwahi kuchaguliwa kuwa defender mzuri kwenye NCAA.
This is violation of article 18(a) of constitution of URT.