Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,198
mapema mno tumpe mda nimeona game yake moja ya kwanza alionekana muoga sana.
mwanzo mgumu Bubu,
MEM imepokea kipigo kingine, kama kawa, 113 - 110 .
Lets face it kuwa MEM wachezaji wa maana ni kama watatu hivi. Gay, Mayo na Randolf, the rest ni rubbish. Ilikuwa bad move kwa dogo kujiunga na timu kama hii.
We are getting ahead of ourselves, Hasheem will take at least 1-2 seasons to develop, everybody chill!