Hasheem Thabeet's Journey In The NBA

Nakubaliana na wewe kinadharia kwani tabia za wazungu kuangalia stats ili kumeasure performance ya mtu but lazima ukubalia kijana kuwa nae ameweka efforts kule D-League ambapo alikuwa na average ya 13 points per game. Hiyo ni improvement ya kuridhisha na inahitajia kupongezwa.

Haddadi alidhaniwa anaweza kuwa substitute wa Marc Gasol but ni jamaa haperfom vizuri ana average ya 1.7 per game sasa hivi ana 2.5 per game. ukicompare na Marc hafai kuwa substitute wake. Bora Hasheem kwani rookie anaweza akadevelop

Kweli. Waliokuwa wanachonga kuhusu Hasheem wanasahau kuwa hizohizo statistics ndio zilimpaisha kwa kiasi kikubwa kwenye college basketball na kuwa #2 pick. Naona leo dogo amepewa dakika 26 na ushee, kapiga vikapu 7 (sawa na Gasol) kwenye ushindi against Celtics. Haddadi kaekwa benchi leo.
 
Nimeangalia game amejitahidi sana kwa kweli ila anahitaji mazoezi kuwa more athletic maana naona harudi nyuma anatembea wakati wenzie wanakimbia na hafungui vyumba aweze kupewa mipira. Natumai kocha atampa technic zaidi ajitahidi but he has done a good job jana against celtics.
 
kijana kweli alijitahidi sana.....ila bado anaonekana mvivu wa kujituma
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom