Hapa mbona pamepoa ghafla, kulikoni?
Vipi matokeo waungwana.
Connecticut 60
Pittsburgh 70
Hii ndo timu ile ile ambayo jamaa alimtupa Thabeet, naona inawapa tabu sana.
kweli mkuu Kuhani humtakii hasheem maendeleo yake? au ni majungu ya Koba na Nyani Ngabu?........sidhani kama Kuhani anaweza kuwa na roho ya namna hii......mnamsingizia......Najua hii ni ya kule (michezo) lakini hapa wengi ndio mnakuja sasa inabidi muone kijana wetu anavyofanya mambo makubwa..haters wote + Kuhani mnaweza kunywa sumu mfe ila kijana anaelekea NBA (projected top 3)....tutaendelea
Keep my name out of your mouth fool....mimi sijamtaja huyo mtu....mimi nimesema haterz...sasa kama wewe na yeye kiatu kinawatosha kivaeni...kweli mkuu Kuhani humtakii hasheem maendeleo yake? au ni majungu ya Koba na Nyani Ngabu?.........
....kwa watanzania wenzangu: let this kid be a basketball player, not role model to your kids, or Tanzania's ambassador at large.
i'm so sorryKeep my name out of your mouth fool....mimi sijamtaja huyo mtu....mimi nimesema haterz...sasa kama wewe na yeye kiatu kinawatosha kivaeni...
hapana mkuu.....sipigi majungu nafurahi sana kwa jitihada zake.....nafikiri post yangu hukuilewa.....isome tena vizuri....Hata hivyo ni kweli kuwa Kuhani hamtakii Hasheem mema na kesha wahi kutumia jukwaa hili kum-smear na vi-story vya uongo!!! Kwahiyo mwenye majungu ni Kuhani na Yo-yo the dancer!!
i'm so sorry
Hata hivyo ni kweli kuwa Kuhani hamtakii Hasheem mema na kesha wahi kutumia jukwaa hili kum-smear na vi-story vya uongo!!! Kwahiyo mwenye majungu ni Kuhani na Yo-yo the dancer!!
unajua nimekupa hishma sana kukuapologize naona unaota mapembe........No need to apologize....just keep ma name out ya mouth, okay?
unajua nimekupa hishma sana kukuapologize naona unaota mapembe........
naona naandika vitu vikubwa huwezi kuvielewa.......anyway enjoyRadhi umeomba kwa hiari yako. Sikudai uiombe. Sasa mapembe yametokea wapi? Au leo unasumbuliwa na LSE?