HASHEEM Thabeet ampiga mtama TID!

Si unajua limbukeni wengine wanataka kuonekana, kulimbwata, nioneni na mie nimo.

Anajua huku USA na U NBA wake wote kuna machizi watamuona kitoko tu, tena ndiyo kwanza wataanza kumsagia stats zake.

Sasa akija bongo anajua kila mtu anamtetemekea NBA superstar. Ndiyo yale yale ya masikini akipata ****** hulia mbwata.

Wakati kina Warren Buffet wanaendesha mikoko ya kutoka mid seventies huko, huku wameisusa mibilioni ya dola iende kugawiwa kwenye charities. NAongea mibilioni ya dola.

SAsa mwenzetu kapata milioni kadhaa tu zinamlevya. Asije kugeuka MIke Tyson wetu tu.

Huku nani anamjua huyu...kwanza ataishia kuwa bust tu...weee subiri
 
Mtu anafanya upuuzi wa kijinga wewe unamuita "poor Hasheem"?

Hivi huyu akikatishwa contract na kurudi mtaani tukisema hatumhurumii mnaweza kutushangaa?

Ndiyo maana namuonea huruma...Kwa sababu anafanya kitu ambacho anajua kabisa kwamba hakipaswi kufanywa na mtu wa aina yake....T.I.D si saizi yake.....Celebrities wa Bongo wote si size yake.....Kwa mwenendo niliomuona nao tangu arejee Bongo nilihisi tukio la aina hii laweza kutokea...Dogo kaingia mpaka vilabu vya uswazi eti anajirusha...mara kuna siku kazuiwa kuingia Miss Universe akaanza kupandishiana na mabaunsa,mara yupo huku..........Shauri yake bana
 
Ilikua majira ya saa kumi unusu nikiwa natoka club billcanas pamoja na rafiki yangu ANNA tukiongozana kuelekea mlango mkubwa wa kioo nikiwa naongea na simu na Hisbert kwa sauti ya juu maana kelele za muziki zilikua zinasumbua nikiwa nimesimama nje ya mlango wa kioo ghafla akatokea bwana HASHIM ambaye alikua counter akiongea na wakata ticket akaja nje na kunipiga bonge la mtama nikaaunga chini ya sakafu na kuzirai kwa dakika kadhaa,mabaunsa wakanibeba na kuniweka pembeni maana nilikua mlangoni,nilipozinduka nilisikia maumivu makali kwenye mabega,mkono wangu wa kulia na mguu ambao unafanya kutembea kwangu kwa taabu,nikaangalia mkononi simu yangu sikuiona tena,nikawauliza mabaunsa wake jamaa amekwenda wapi!wakadai ameondoka tayari...nikajikokota kuelekea kwenye gari yangu na kuelekea polisi kutoa taarifa niweze kupata matibabu,nilipofika nikaaandika statement nikapewa namba ya case CD/RB/6848/10 pia nikapatiwa PF3 nikaenda hospitali nikapata matibabu,sasa hivi niko kitandani siwezi kutembea vizuri,pia nitashindwa kuperfom kwenye harusi ambayo tayari nishalipwa pesa tayari.SWALI langu ni kwanini ameamua kunidhalilisha vile mbele ya CLUB na FANZ ambao nilikua nawatumbuiza?kwanini ameamua kuniharibia kazi yangu?kwanini ameamua kunipiga bila ya kumkosea?JE NI SAWA HIVI JAMANI....naona MACHOZI YANANITOKA SINA CHA KUMUELEZA MAMA YANGU.

source http://topbandtz.blogspot.com/

Duh!..Jamaa kashaitundika kwenye blog yake na naona pia keshawapa mwera taarifa.Is he planning on
suing the guy?...Ingekua Marekani hii kitu ingekua big dili maana TID angetafuta kulipwa kipato flani kutoka
kwenye hio $14 million anayopewa.

If TID is smart this thing is not going away anytime soon. Hasheem ameonyesha poor judgement and
he cannot run away from this. Utoto samtaimu unasumbua hususan unapogongana na mihela kibao.

Hasheem, please style up.This is fair criticism.
 
how old is the boy? given his background should his first priority be fancy cars?
 
Ndiyo maana namuonea huruma...Kwa sababu anafanya kitu ambacho anajua kabisa kwamba hakipaswi kufanywa na mtu wa aina yake....T.I.D si saizi yake.....Celebrities wa Bongo wote si size yake.....Kwa mwenendo niliomuona nao tangu arejee Bongo nilihisi tukio la aina hii laweza kutokea...Dogo kaingia mpaka vilabu vya uswazi eti anajirusha...mara kuna siku kazuiwa kuingia Miss Universe akaanza kupandishiana na mabaunsa,mara yupo huku..........Shauri yake bana

Mkuu,
this guy is going too low for his status so to speak. Hata sijui kaenda bongo kufanya nini, Hapa nd'o nuksi inakufuata utake usitake. Yaani kujirusha uswazi jamani hakuna dili yoyote for a guy of his stature. Utapigwa chupa ya kilevi kisha iwe ishu ukirudi kucheza next season. Ndivyo Africa tulivyo....most of them peeps have nothing to lose. Hasheem has 14 million reasons not to go these dingy places...but do I say?...

Wanasema you can take a man out of a village but you cannot take the village out of the man...Nd'o hayo mambo ya kujiita mtoto wa Sinza yet you are thousands of miles away from such.

Ulimwengu utamfunza tu.
 
Duh!..Jamaa kashaitundika kwenye blog yake na naona pia keshawapa mwera taarifa.Is he planning on
suing the guy?...Ingekua Marekani hii kitu ingekua big dili maana TID angetafuta kulipwa kipato flani kutoka
kwenye hio $14 million anayopewa.

If TID is smart this thing is not going away anytime soon. Hasheem ameonyesha poor judgement and
he cannot run away from this. Utoto samtaimu unasumbua hususan unapogongana na mihela kibao.

Hasheem, please style up.This is fair criticism.

Nimeisoma hii...........Hasheem kayataka mwenyewe....T.I.D naye lazima ana matatizo lakini,yeye kila siku kupigana tu..........abadilike
 
how old is the boy? given his background should his first priority be fancy cars?

I think his first priority should be to improve his game. He needs to be spending time in the gym to bring his level of playing to the likes of Dikembe na kina Olajuwon. Kama Nyani alivyosema hapo juu, this guy might end up being a bust kisha arudi uswahilini for real!
 
Ya kawaida hayo na ndio dunia, ...TID nae anamikosi ma AFUNGWE!
Yanawapata hata mastaa zaidi ya Hasheem mamtoni, lakini najua wabongo watakomaliaaaaa!
 
Nimeisoma hii...........Hasheem kayataka mwenyewe....T.I.D naye lazima ana matatizo lakini,yeye kila siku kupigana tu..........abadilike

Si unajua TID ni mswahili with nothing to lose. Na kama usemavyo Hasheem kayataka mwenyewe haya. Hii ishu ikimfikia David Stern, u best believe kutakua na repercussions, especially TID akishikilia bango kua jamaa kampa life alteriing injuries...which is very easy ukipata daktari mshkaji akuandikie ripoti.

Mimi nimemaindi sana hii kitu.
 
Hasheem naye aache uswahili yeye tayari ni maarufu........kajichanganya sana kiasi kwamba mtu unajiuliza hivi huyu wakora wakimtokea si wanamfanyizia kweli?.....abadilike la sivyo hatafika mbali...

Ukiisoma hiyo taarifa ya T.I.D utaona kwamba hataki kueleza sababu ya yeye kupigwa(anasema kapigwa bila kosa...inawezekana?.....),halafu anadai kapoteza simu,pia alipoteza fahamu....na andai kwamba kashindwa kufanya shoo......pia yupo kitandani hajiwezi.....uswahili mtupu............anachotaka sijui ni hela ama???????......Hashim bana............aaaaaaaaaaaaargh
 
ndg yangu waingereza wanakwambia`once your name is on internet your finished``hizi ni kama habari za kijinga lakini usishangae zikamfikia stern hivi hivi,na unajua tena jamaa akala punishment ingine,nashindwa kumwelewa anaenda kupigana na T.I.D.hata mwendawazimu hawezi fanya hivyo,nashangaa alikua na wapambe wa nini sasa?ishu ndogo kama hizo angewauzia kesi wapambe ndo wampe kichapo,wakati yeye katulia pembeni tulii,haya tid kashaklaim mahela saa sijui nini,na usikute kashapanga dili na polisi wa kibongo wamtoke hela huyo mbwiga wa N.B.A.
 
Hasheem namwona hapa IFM shule na VOGUE lake anafungulia muziki mkubwa milango yote wazi na wapambe wake kisa anatafuta attention kwa wasichana.....????????? kama mtu anabisha leo mida ya saa 11 na nusu pitia pale IFM chuo utajionea mwenyewe.

Hehhehheeh!Kweli Usupastaa bongo kazi...yani mpaka ajilengeshe!:wave: Badala yakusubiri wajisogeze wenyewe!!!:bump2:
 
Hasheem naye aache uswahili yeye tayari ni maarufu........kajichanganya sana kiasi kwamba mtu unajiuliza hivi huyu wakora wakimtokea si wanamfanyizia kweli?.....abadilike la sivyo hatafika mbali...

Ukiisoma hiyo taarifa ya T.I.D utaona kwamba hataki kueleza sababu ya yeye kupigwa(anasema kapigwa bila kosa...inawezekana?.....),halafu anadai kapoteza simu,pia alipoteza fahamu....na andai kwamba kashindwa kufanya shoo......pia yupo kitandani hajiwezi.....uswahili mtupu............anachotaka sijui ni hela ama???????......Hashim bana............aaaaaaaaaaaaargh
mkuu kibongo bongo lazima atengeneze mazingira ya kuvuta si unajua jamaa ni kama wale wa mererani,teh teh
 
Hashim, watch out na hiyo team ya wapambe wako. Juzi mpambe wako kaja na hiyo Range yako kuosha gari uswazi pale nyuma ya Umoja House, ili watu wajue gari ni lake akamfungulia muoshaji kumuonyesha manjonjo ya ndani ya custom made, muziki sauti ya juu, alichokipata ni kukombwa vikolokolo vya ndani ikiwemo saa ya dola 5,000 kama ni kweli kama ilivyodai huyo mpambe. Hashim uko juu, usijishushe kwa issue za kiaibu aibu.
Macho, masikio na matumaini ya kuinua Basket yetu yako mabegani kwako. Don't let yourself down, don't let us down.
 
Sinza mentality.........
Mbona watoto wa new york ameshindwa kuwaonyesha ujanja wake
mpaka wamempeleka d leaugue??????????????

Eti mimi mtoto wa sinza?????????wtf???????????

Halafu pesa zote hizo unakuja ku starehe bilicanas????????
Hivi huyu hakujui st tropez na hawaii au vipi?????????
 
Bongo kuna opportunity ambayo inahitajika sana ingawa watu wengi hatujaiona. kunahitajika mashirika binafisi,charities za kutoa counselling kwa watu wenye matatizo na mafanikio mbalimbali.

Nina uhakika sio tu wenye matatatizo wanaijitaji counseellig hata wenye mafanikio pia. Ila najua mtu kama Hasheem ukienda ukamwambia anahitaji couseling anaweza kukununia. Kwa TID nadhani yeye darasa lake la counseliing inabidi liwe refu zaidi.
 
To be honest mimi sishangai kabisa.....
Huyu dogo ni wale mabitoz wanaotoka bush na kuingia dar wakiwa
tayari watu wazima,wana kuwa na the urge to prove kuwa sio washamba..
Mwishowe wanathibitisha kuwa ni washamba
 
Jamani huku majuu atambabaisha nani?. Kama ni chenji kuna watu wanazo balaa, kwa hiyo kwake yeye sehemu pekee ya kujionyesha ni bongo. Hivi kweli mnadhani ataweza kuingia club wanazoingia watu kama akina PDiddy and company?.
 
Back
Top Bottom