HASHEEM Thabeet ampiga mtama TID!

Aibu 2pu hawa celebs we2, nawashaul wackilize wimbo mpya wa Ay na FA wa "Ucje mjin" ndan ya wimbo huu kuna kpande wanasema" unaweza kuwa na fedha mjin ,lakn ukawa mshamba tu" hawa wa2 ni washamba.
 
Acheni mambo yenu nyieee...yani ukishakuwa supastaa mifara ya mtaani ikikuzingua wewe uchekeleee tuu??...tena mastaa wenyewe hawa wa bongo na umaarufu kunuka kina tid plus many more ukiwaachia kesho watakuimba kwenye nyimbo zao...safi sana hashimu wamekuzingua wakidhania ushakuwa mmarekani wakati wewe kitaa uswazi in blood...chapa wote wanaokuzingua na kujitafutia umaarufu kupitia wewe...big up hasheem thabit...kuwa star hakukufanyi kuwa mnyonge kunako haki zako za msingi
 
hawa ndio masupastaa wa kibongo hawa?badala ya kuwaza mambo ya maana akili zimejaa ugoro tu na masifa kwa mademu,yaani watu wengine sijui wameumbwaje jamaa ustaa wote alioupata bado akili kama ya mtoto wa kiswazi manzese au tandale kabisa,T.I.D kafanya makusudi kumchokoza kwani yeye tid hana atakachopoteza,ila jamaa yangu mrefu kavu kweli,mi nilijua sasa hivi kuteremka na hilo vogue makusudi awakomoe waswahili walipomsema alipokuwa kashushwa daraja.sasa sijui anamkomoa nani,bwa mdogo kua hivi visenti vya msimu vitakimbia utabaki kusema mimi ndiyo yuuule hashimu wa N.B.A.shauri yako,wamechoka kina mike tyson,wesley snipes itakuwa huyo hashim,mi yangu macho tu.

kwenye red huo ndo ujinga mkubwa, exposure yote hiyo haijamkomboa lolote...stufind

mwenzie keshapoteza longi sasa anabahatisha tu na kuvizia nani mwingine aanguke nae topeni.

kwenye purple...hapo ndipo hawa maarufu wa bongo wanapojisahau.....wadahni maisha yataendele hivo forever and ever!!! kuna siku yaja watatemwa mate, hawajui tu!!
 
Huyu dogo naona anachezea career yake sasa maana watu wa NBA wana personal conduct policy na haijalishi uko wapi. Wao wanataka wawakilishwe vyema na wawakilishi (wachezaji na watu wengine walo affiliated nao) wao. Huyu dogo na ujinga wake atakuja kutoswa huyu. Mchezo wenyewe hauwezi vizuri halafu bado ana act kijinga jinga. Ngoja David Stern asikie hizi habari na kama ni za kweli tutaona kitakachoendelea
miafrica ndivyo ilivyo. you said it bro. hata ikienda ulaya uafrica haui ishi lol
 
Hapa wote hatujui sababu ya ugomvi wengine wameshakuwa mahakimu. Tusubiri anayejua sababu atueleze sasa hapo ndo tumseme mtu. Unajua watu wawili wakifikia kupigana wote hawana busara na kama mmoja wao angekuwa nazo basi ange prevent fight. so lets wait ..... mwenye habari kamili atupe.

thanks
 
NBA Draft – By The Numbers
Hasheem Thabeet Anual salari ni $14,379,840

Kwa mshiko huu hata wewe ungekuwa yeye lazima ungekuwa unapagawa sometimes
 
Kwa mtu anayelipwa US$ 14,458,840 kwa mwaka, he should have done better handling someone like TID. Hata kama TID ndiye aliyeanzisha fujo makusudi.

Hasheem!! watch out brother!!! Hii Tanzania sio kila mtu anapenda mafanikio yako.
 
NN... i wish huyu dogo angekua anasikiliza ushauri, he is surrounded by wrong people with far less expectations and conducts! Ninyi mlio states nashauri mfanye namna fulani ya kumnyoosha kwa advice in writing or something, otherwise ni bora asije tena huku bongo kwani anajiharibia sana na anakuwa na very short memories kwamba yulele mamake angekua wapi na hashim kama si basketball

Kwa upande wa TID, he is just pain in the ass!!! jamaa ni kimavi fulani na mara nyingi hupenda kukeara watu kwa maneno hasa akilewa... BUT HE IS TOO LOW FOR HASHIM EVEN TO START A FIGHT WITH

kweli wabongo tuna shida
 
NN... i wish huyu dogo angekua anasikiliza ushauri, he is surrounded by wrong people with far less expectations and conducts! Ninyi mlio states nashauri mfanye namna fulani ya kumnyoosha kwa advice in writing or something, otherwise ni bora asije tena huku bongo kwani anajiharibia sana na anakuwa na very short memories kwamba yulele mamake angekua wapi na hashim kama si basketball

Kwa upande wa TID, he is just pain in the ass!!! jamaa ni kimavi fulani na mara nyingi hupenda kukeara watu kwa maneno hasa akilewa... BUT HE IS TOO LOW FOR HASHIM EVEN TO START A FIGHT WITH

kweli wabongo tuna shida

Hii ni sawa na LeBron kuwa na beef na Soulja Boy...

Just like R.Kelly said...why would an elephant swat a fly..?
 
Kama anaendelea hivi NBA career iko matatani. Kama alivyosema Nyani hapo juu, NBA wanajali mpaka mambo ya off court, halafu mtu anayehusudu ugomvi wa kijinga kama hivi ( no discipline) napata mashaka kama anaweza kuwa na discipline ya kujifua kimichezo. Tatizo dogo anaona kashafika wakati safari ndiyo kwanza inaanza.

Na hizi safari za kurudi Sinza kila wiki tatu, na kufanya fujo, watoto wa kihuni hao hao anaoleteana beef nao watam tie na kumvunja miguu waone kama ataenda NBA.

Mtu una career ya mamilioni ya dola halafu una muda wa upuuzi huu? Masikini akipata ****** hulia mbwata na wamoja havai mbili.
 
I'm dissapointed with Hasheem..I thought he is bigger than this. Hasheem zingatia image yako, wachana na hao wakanyaga vumbi wenye kijicho watakuharibia, tena chagua viwanja vya wajanja, sio kule kila kibogoyo anaingia..wewe sasa una pesa ndeeeeefu kuliko hao wala vumbi. Tafuta sehemu nzuri exclusive ule jasho lako mwana. You have 10 to 15 years of ur carrier ahead..don't loose it please.
 
Hii ni sawa na LeBron kuwa na beef na Soulja Boy...

Just like R.Kelly said...why would an elephant swat a fly..?
Aisee unajua the more i read this story the more i wish to reach for the gun and shoot this young man because his acts may curse future potentials

please please Tanzanians, lets deliver the message to Hashimu to stop nonsense he is just wiping his ass in the public!!!

SO PAINFUL!
 
Aisee unajua the more i read this story the more i wish to reach for the gun and shoot this young man because his acts may curse future potentials

please please Tanzanians, lets deliver the message to Hashimu to stop nonsense he is just wiping his ass in the public!!!

SO PAINFUL!

Sikuwahi hata siku moja kusikia Hakeem Olajuwon au Dikembe Mutombo wamefanya ujinga ujinga kama huu. Kwanza sijui hata kama hawa jamaa walikuwa wanajirusha. Miaka yote Mutombo aliyochezea Atlanta Hawks sikuwahi kusikia kitu hasi kuhusu yeye. Sasa huyu dogo sijui tatizo lake nini....na asidhani watu wanamwogopa. Ipo siku watamvuruga vibaya sana hadi atie akili.
 
Kwani huwa kinamrudisha nini bongo mara kwa mara? manake sasa imekuwa kama wimbo wa taifa mara jana alikuwa machoz leo yuko bills kesho ngwasuma!!!
 
Kwani huwa kinamrudisha nini bongo mara kwa mara? manake sasa imekuwa kama wimbo wa taifa mara jana alikuwa machoz leo yuko bills kesho ngwasuma!!!

Si unajua limbukeni wengine wanataka kuonekana, kulimbwata, nioneni na mie nimo.

Anajua huku USA na U NBA wake wote kuna machizi watamuona kitoko tu, tena ndiyo kwanza wataanza kumsagia stats zake.

Sasa akija bongo anajua kila mtu anamtetemekea NBA superstar. Ndiyo yale yale ya masikini akipata ****** hulia mbwata.

Wakati kina Warren Buffet wanaendesha mikoko ya kutoka mid seventies huko, huku wameisusa mibilioni ya dola iende kugawiwa kwenye charities. NAongea mibilioni ya dola.

SAsa mwenzetu kapata milioni kadhaa tu zinamlevya. Asije kugeuka MIke Tyson wetu tu.
 
Amerudi bongo kufanya nini? badala angeendelea kujifua ili apiganie namba.Kila siku club na kwenye sebene
 
Ilikua majira ya saa kumi unusu nikiwa natoka club billcanas pamoja na rafiki yangu ANNA tukiongozana kuelekea mlango mkubwa wa kioo nikiwa naongea na simu na Hisbert kwa sauti ya juu maana kelele za muziki zilikua zinasumbua nikiwa nimesimama nje ya mlango wa kioo ghafla akatokea bwana HASHIM ambaye alikua counter akiongea na wakata ticket akaja nje na kunipiga bonge la mtama nikaaunga chini ya sakafu na kuzirai kwa dakika kadhaa,mabaunsa wakanibeba na kuniweka pembeni maana nilikua mlangoni,nilipozinduka nilisikia maumivu makali kwenye mabega,mkono wangu wa kulia na mguu ambao unafanya kutembea kwangu kwa taabu,nikaangalia mkononi simu yangu sikuiona tena,nikawauliza mabaunsa wake jamaa amekwenda wapi!wakadai ameondoka tayari...nikajikokota kuelekea kwenye gari yangu na kuelekea polisi kutoa taarifa niweze kupata matibabu,nilipofika nikaaandika statement nikapewa namba ya case CD/RB/6848/10 pia nikapatiwa PF3 nikaenda hospitali nikapata matibabu,sasa hivi niko kitandani siwezi kutembea vizuri,pia nitashindwa kuperfom kwenye harusi ambayo tayari nishalipwa pesa tayari.SWALI langu ni kwanini ameamua kunidhalilisha vile mbele ya CLUB na FANZ ambao nilikua nawatumbuiza?kwanini ameamua kuniharibia kazi yangu?kwanini ameamua kunipiga bila ya kumkosea?JE NI SAWA HIVI JAMANI....naona MACHOZI YANANITOKA SINA CHA KUMUELEZA MAMA YANGU.

source http://topbandtz.blogspot.com/
 
Hivi Hasheem angerushiwa chupa achanike mishipa ya mkononi, angechezaje kikapu tena? Na TID angevunjwa taya, angewezaje kuimba tena?Wenzao huwa wanakuwa majeruhi wakati wakiwa kazini, wao wanataka wawe majeruhi wakiwa kilabuni!
 
Back
Top Bottom