Hasheem aambiwa stop taking pictures on the damn beach and get in a gym

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
317990_10151029222462640_955287983_n.jpg
mmoja wa fans wake amwambia dogo......
 
sisi tukiseama anatuita haters.....ila kiukweli muda huu angekuwa anafukia magepu ili akuze kipaji chake...
 
tatizo hamna shule ya kutoa ushamba!!!ndo ugonjwa unaomsumbua huyu mtu mwenye mwili kama kabati la mbao la nguo!....hili shavu angelipata mjanja flani naamini wabongo wote wangeona ufahari ila si huyu pimbi hashimu na swagga zake za kutembea huku masaburi anayainua juu juu kama break ya ndege!
 
kaka Yoyo to be honest kwa mtu anayeijua vizuri game ya kikapu lazima atakwambia kwamba Hasheem hafanyi poa kwa kuwa hana basics au skills za kudunda...kinacho mbeba ni urefu tu!
he needs to work out aimprove
 
Sikuamini nilipomsikia anaongea uku KISWAHILI kinampa shida sana kukitamka...
 
Yupo vacation mwacheni apige picha ila kusahau kujifanya kusahau kiswahili hilo ni tatizo
 
tatizo hamna shule ya kutoa ushamba!!!ndo ugonjwa unaomsumbua huyu mtu mwenye mwili kama kabati la mbao la nguo!....hili shavu angelipata mjanja flani naamini wabongo wote wangeona ufahari ila si huyu pimbi hashimu na swagga zake za kutembea huku masaburi anayainua juu juu kama break ya ndege!

teh teh teh,hemedi umeua bendi mkuu!
 
teh teh teh,hemedi umeua bendi mkuu!
Senetor...mkali aje mbona jina la hemedi umenishikia bango kila nikipoteza mzazi unatupia mumo mumo!!!acha hizo mnyama!ila hasheem upimbi hauwezi kumuisha!akija bongo anapanic anavyokuta wakali wanavyojipigia dadake zake halafu kwa sound na mauzo ya kimjini!anaacha kucocentrate na fani yake anataka kuvimbia watu bila sababu
 
Last edited by a moderator:
Jamaa kawazidi kwa kila kitu: fame, money, women, physical presence, attitude, plus he's hung like a donkey. In short, dude's in a totally different league. Let dude be himself bandugu!
 
tatizo hamna shule ya kutoa ushamba!!!ndo ugonjwa unaomsumbua huyu mtu mwenye mwili kama kabati la mbao la nguo!....hili shavu angelipata mjanja flani naamini wabongo wote wangeona ufahari ila si huyu pimbi hashimu na swagga zake za kutembea huku masaburi anayainua juu juu kama break ya ndege!

Yaani unajua kupaka kinyesi, sijategemea kucheka hivi
 
Jamaa kawazidi kwa kila kitu: fame, money, women, physical presence, attitude, plus he's hung like a donkey. In short, dude's in a totally different league. Let dude be himself bandugu!
/

...So how do you know he is 'hung like a donkey', pray tell. ulimuonjesha....???:thinking:
 
unajua swaga zako dezaini flani kama za mkali mwenyewe the phd ndo maana najikuta nimekuita ivo mkuu,ila co ishu,huyo hasheem tumvungie as bado anasumbuliwa na ushamba
 
Back
Top Bottom