Hasheem aambiwa stop taking pictures on the damn beach and get in a gym

unajua swaga zako dezaini flani kama za mkali mwenyewe the phd ndo maana najikuta nimekuita ivo mkuu,ila co ishu,huyo hasheem tumvungie as bado anasumbuliwa na ushamba

hahahahah!mzuka mwingi bab!nakukubali unavyomkubali mkali wa wakali!
 
Wabongo mna midomo sana, so hate,umasikini unatusumbua.. imagine mtu yupo Vacation/leave its about rest n spending sijui mnataka afanyaje..dude is doin well with Blazers nowdays...midomo waachieni wanawake fanyeni maisha na career zenu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nizar Halfan alikuwa anacheza ligi ya kulipwa Marekani lakini sasa hivi amesajiliwa na Yanga, Mrisho Ngasa pia ilibidi awe anacheza hiyo ligi ya Marekani ila mpaka leo anaangaika na viwanja vya Chamanzi, na badly ile nafasi yake kule USA ameichukuwa mkongo, na hata huyu Hasheem naye si muda mrefu mtasikia anachezea Pazi au Vijana. its matter of time.
 
tatizo hamna shule ya kutoa ushamba!!!ndo ugonjwa unaomsumbua huyu mtu mwenye mwili kama kabati la mbao la nguo!....hili shavu angelipata mjanja flani naamini wabongo wote wangeona ufahari ila si huyu pimbi hashimu na swagga zake za kutembea huku masaburi anayainua juu juu kama break ya ndege!

baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaassi
 
Senetor...mkali aje mbona jina la hemedi umenishikia bango kila nikipoteza mzazi unatupia mumo mumo!!!acha hizo mnyama!ila hasheem upimbi hauwezi kumuisha!akija bongo anapanic anavyokuta wakali wanavyojipigia dadake zake halafu kwa sound na mauzo ya kimjini!anaacha kucocentrate na fani yake anataka kuvimbia watu bila sababu

hahaaaaaa PHD teh teh teh teh karibu JF
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom