Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,688
- 1,281
HILI.coat lililovaliwa na rais,tradename ni EKURO,ni japanese product na kwa mwaka this handsewn coat ni 50 tu yanayotengenezwa,kuna backlog ya orders ya 2 years,na watu kama bondia Tyson order yake ilikataliwa eti because he is a hoodlum not fit to grace the coat,how kikwete got this coat mimi sielewi,lakini i think vipimo katuma vidogo hence coat linaonekana baya.otherwise hii ni product kali sana ambayo mimi,Yoyo na Omega can only own in daytime dreams
Kama unanunua kitu cha thamani hivyo halafu hakijakupendeza faida yake nini! bora nivae kaniki inipendeze