Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

TBC waliandika barua kwa CDM hawataweza kucove kampeni zao kama hawatahakikishiwa usalama wao, what a joke
Walijibiwa na CDM kuwa wenye wajibu wa kuwalinda ni Jeshi la polisi chini ya serikali inayoongozwa na CCM.
 
wamekaukiwa wanajaribu kutembeza bakuli, wanataka kushindana na CCM kwa pesa wataweza wapi!! CCM MASHINE KUBWA INASAGA NA KUKOBOA
 
Nimeguswa sana na chadema hasa leo wanapozindua mchakato wa changia Chadema.Chadema watoe M-Pesa,au Tigo,au Airtel Money.Sasa wewe je unaichangia shilingi ngapi chadema?Saa ya ukombomozi ni sasat

Kuna omba omba wengi sana hapo mtaani, ni bora hiyo pesa ungeenda kununua mitumba ya nguo na kuwagawaia hao, ama ungewanunulia chakula kwa pesa hiyo.
 
KWASASA KINACHOENDELEA NI MAKADA NA WANACHAMA WAKIINGIA KATIKA UKUMBI WAKIBADILISHANA MAWAZO....SAA MBILI KAMILI SHUNGULI RASMI ITAANZA. TELEVISION YA STAR TV INAONYESHA LIVE KWA WALE AMBAO HAWATAWEZA KUFIKA HAPA. :roll::roll::roll::
Kwa nini Harambee hii inafanyikia Kaskazini tena Usiku?????
 
Mama yangu! hadi sasa mezani kuna millioni 150.
Hongera sana waliojitolea kutoa hizi pesa na Mungu awabariki sana!
 
Aisee watangazaji wanatisha sana, Salim Mwalimu, Mwoleka na Double G, wanatisha sana.....habari yako mjuaji sana Mzenji Marin Hasan Marim, we ni mnafiki tu kushadadia CCM
 
Back
Top Bottom