Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

hahaaa mkuu hata huyu Ritz inaonekana anaizimia CDM ile mbaya ile vidole kwenye keyboard ndio vinapindisha ukweli
Mkuu watu kama Rejeo,Ritz,Waberoya,Mohamedi shossi,Kimbunga and com'leo hawatapata usingizi kwa chuki waliyonayo
dhidi ya CDM...yaani kama ninawaona walivyokasilika huko waliko. Poleni sana! Mnamuona Mbowe huyo? Mnaona
hayo manoti ya michango hapo mezani? Kubali mkatae Chadema ni namba nyingine!
 
Manyanza,
Nipo na vijana wangu wa kazi mabingwa wa IT wanaweza kufanya Network's Collapse kwenye makampuni yote ya simu, lakini nimeamua kuacha mpate pesa kidogo ya kula.
 
Hata Obama mwaka 2008 alipitisha bakuli na watu walichangia...
siasa za marekani na Tz tofauti kabisa! Namna yao ya kuraise fund ni tofauti kabisa na wanayofanya CDM!
CDM badala ya kueleza sera zao wanatumia nguvu kubwa kulia lia na polisi na Tume ya uchaguzi! Jiaminini..na this time inabidi muache tabia yenu ya kususia matokeo!
 
Mkapa katoa agizo Matokeo yatangazwe CDM wataenda kudai mahakamani siri toka vikao vya CCM

mmeanza kujihami , tume ina makosa gani? Na mkapa ametowa wapi haya maagizo? Hamtaacha uchochezi mpaka mtakapopata viongozi wabunifu,, hamuishi kulalama kama wanawake subirini hy tarehe 1-4-2012 mtakavyosambaa mapema
 
Mkuu watu kama Rejeo,Ritz,Waberoya,Mohamedi shossi,Kimbunga and com'leo hawatapata usingizi kwa chuki waliyonayo
dhidi ya CDM...yaani kama ninawaona walivyokasilika huko waliko. Poleni sana! Mnamuona Mbowe huyo? Mnaona
hayo manoti ya michango hapo mezani? Kubali mkatae Chadema ni namba nyingine!

Mkuu, hakuna mtu wa kuchukia Chadema kuchangiwa, hapo mezani alipokaa Lema, kuna kama Laki tano tu.
 
Duh! Dr Slaa ni kiboko ndio maana sitofautiani na baadhi ya members humu wanaposema kua kuna wana CCM wanaipenda CDM, ndio maana inakua ni rahisi sana kwa CDM kupata info zote na hujuma za CCM
Mkuu,kumbe ulikuwa hujui? Siri zote zinazopangwa na ccm...baadae kati yao kuna wanaozipeleka CDM
 
mmeanza kujihami , tume ina makosa gani? Na mkapa ametowa wapi haya maagizo? Hamtaacha uchochezi mpaka mtakapopata viongozi wabunifu,, hamuishi kulalama kama wanawake subirini hy tarehe 1-4-2012 mtakavyosambaa mapema

hatulamimiki ni wazi mmejaa ghilba huoni Tume inajirudi
 
CCM huchangiwa na wakwepa kodi,wahindi na waarabu!pia hulazimisha taasisi za govt kama nssf,tcra etc eg jairo scandal
 
Kuna watu wa kuwaomba michango na siyo kila mtu!
CDM wamezidi..mpaka kwenye mikutano ya kampeni? Hii haijawahi tokea!

hivi ni kiongozi gani alihongwa suti na baada ya kupewa suti akalipiwa na chumba
 
Mkuu watu kama Rejeo,Ritz,Waberoya,Mohamedi shossi,Kimbunga and com'leo hawatapata usingizi kwa chuki waliyonayo
dhidi ya CDM...yaani kama ninawaona walivyokasilika huko waliko. Poleni sana! Mnamuona Mbowe huyo? Mnaona
hayo manoti ya michango hapo mezani? Kubali mkatae Chadema ni namba nyingine!
Wasiwasi wangu ni matumizi tu ya hizo hela..sidhani kama zitatumika kwa kusudio lake!
 
Manyanza,
Nipo na vijana wangu wa kazi mabingwa wa IT wanaweza kufanya Network's Collapse kwenye makampuni yote ya simu, lakini nimeamua kuacha mpate pesa kidogo ya kula.

pumba hii; huna ubavu huo.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom