UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 8,529
- 7,732
Kwani kuna asiyejua kwamba ccm ni wauaji, genge la mumiani wanywa damu za watu?
your killers for innocents Tanzania. their blood will be on you.Comment kama hizi ndio zinakifanya Chadema wanaonekane mbele ya jamii kama chama cha wauni.
Kwenye blue ni mkoa gani Rais ajafika? kwenye red kama Chadema waliyajua hayo yote kwa nini wayakubali matokeo ya Ubunge na Udiwani halafu matokeo ya urais wayakatae?
chadema wanasema hawana imani na usalama wa taifa na vyombo vingine vya dola, wakati huo huo wanajiandaa kuchukuwa dola sijui wakifanikiwa kuchukuwa dola wafuasi wa chadema ndio watakuwa usalama wa taifa.
Hivi mtu anayedai kutaka kuuawa ni Harakati? mimi nadhani anayetaka kuua ndiye mwenye harakati.. au mimi ndio sielewi kiswahili!
Hata Membe kasema hivyo hivyo, na watu wa karibu na JK wanasema hivyo hivyuo kwamba mkulu hawezi kukaa nchini kwa sababu kuna watu wanataka kumuua na hata siku moja halali Ikulu. Ndio Bongo yetu mkuu wangu kila kitu mahesabuNeno la kutaka kuniua ni zito sana, Slaa anapokataa kutoa maelezeo polisi ili yasaidie kufanya uchunguzi wa tishio hilo la kutaka kuuwa, hizo zinakuwa akili za namna gani mkuu!
Wewe huwezi jua mikoa ya Tanzania kwa maana wewe ni wa Republic of Nauru; Hii nauru ndio state nyumba? Baadhi ya mikoa ambayo rais hajathubutu kutembelea wananchi ni Arusha, Mbeya, Manyara, Mwanza, Shinyanga nk. Ukisikia amefika huko si kuongea na wanachi bali kufungua mkutano wa ndani au kuzindua jengo la wawekezaji. Sijawahi kumsikia mkulu akiwashukuru wananchi kwa kumchagua. Kama unao ushahidi kwamba dingi aliwashukuru wapiga kura weka hapa. Chama dhaifu hakiwezi kutoa kiongozi bora; ikitokea ni bora watamhujumu
Bdo yote alikwenda ktk uzinduzi... fuatilia kwa makini wee weka tarehe.. JK hajawahi kwenda mikoani hiyo kutoa shukrani zake kwa wananchi.
Bdo yote alikwenda ktk uzinduzi... fuatilia kwa makini wee weka tarehe.. JK hajawahi kwenda mikoani hiyo kutoa shukrani zake kwa wananchi.