HAPPY INDEPENDENCE DAY!
God bless Tanzania, God bless Africa, God bless you all!
Kwa niaba yangu na wazanzibar popote walipo Tunaitakia wa Tanganyika kila la kheri katika kusheherekea siku mliopewa Uhuru kutoka kwa mkoloni wa kiengereza (All the best)
Independence Day .
Tanganyika achieved autonomy in September 1960 and became a fully independent state within the Commonwealth in December 1961, with Nyerere as premier. In December 1962, when Tanganyika became a republic, he became the nation's first president. There were communist-inspired army mutinies in January 1964 but these were quelled with British assistance.
nyie wazanzibari na sisi wazanzibara teh teh teh...angalia usije ukatafunwa na dhambi ya 'ubaguzi,...sisi....wao....kumbuka hata huko zenji kuna 'wapemba' na 'waunguja' ohooooo....
Senks kwasababu mimi na wewe tunaipenda nchi yetu nzuri Tanzania pamoja na Rais wakeTanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote
nchi yangu Tanzania
jina lako ni tamu saaaana
nilalapo nakuota wewe
niamkapo ni kheri mama weeee
Sasa mtu unakata siku yako ya kuzaliwa?? na unaita ubaguzi ?mbona sie hatulalamiki mnapotutakia kila lakheri tukisherekea siku ya sherehe za mapinduzi
HAPPY INDEPENDENCE DAY!
God bless Tanzania, God bless Africa, God bless you all!
nikiona huu wimbo nakumbuka migomo ya SUA, ulikuwa unatia hasira sana ukianza kuibwa, kazi inabaki moja tuu kuchapa ambao wameingia madarasani, baba MSOLA umetutesa sana bora wakufiche huko wizarani.Thanks for the history of TZ swahili coast. But its also important to recognize the mainland, the bantus, "Khoisan" and "nilo-hamite".
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote
nchi yangu Tanzania
jina lako ni tamu saaaana
nilalapo nakuota wewe
niamkapo ni kheri mama weeee
HAPPY 48th ANNIVESARY