Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 3,611
- 8,740
ule msemo toka kwenye biblia Maneno ya Paulo “Asiyefanya kazi, asile” (3:10).ulilenga watu fulani humu duniani kwakeli yani kuna wengine kuanzia January mpaka December yeye ni kutafuta mkate wa kila siku.
utafutaji hapa duniani wengine kwao ni gereza watabaki kuwa watumwa wa pesa mpaka kifo chao ukilinganisha na wale happy day kazi moja inaweza kumlisha mwezi au mpaka mwaka.
wapo wengine waliopo gerezani yani hata pesa utakuwa nayo ila itakuwa ya utumwa kama wengine isiyo na happy day.