Happy independence day

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,489
79
HAPPY INDEPENDENCE DAY!

God bless Tanzania, God bless Africa, God bless you all!
 
HAPPY INDEPENDENCE DAY!

God bless Tanzania, God bless Africa, God bless you all!

Kwa niaba yangu na wazanzibar popote walipo Tunaitakia wa Tanganyika kila la kheri katika kusheherekea siku mliopewa Uhuru kutoka kwa mkoloni wa kiengereza (All the best)
Independence Day .
Tanganyika achieved autonomy in September 1960 and became a fully independent state within the Commonwealth in December 1961, with Nyerere as premier. In December 1962, when Tanganyika became a republic, he became the nation's first president. There were communist-inspired army mutinies in January 1964 but these were quelled with British assistance.
 
nyie wazanzibari na sisi wazanzibara teh teh teh...angalia usije ukatafunwa na dhambi ya 'ubaguzi,...sisi....wao....kumbuka hata huko zenji kuna 'wapemba' na 'waunguja' ohooooo....
 
nyie wazanzibari na sisi wazanzibara teh teh teh...angalia usije ukatafunwa na dhambi ya 'ubaguzi,...sisi....wao....kumbuka hata huko zenji kuna 'wapemba' na 'waunguja' ohooooo....

Sasa mtu unakata siku yako ya kuzaliwa?? na unaita ubaguzi ?mbona sie hatulalamiki mnapotutakia kila lakheri tukisherekea siku ya sherehe za mapinduzi
 
A chronology of key events in Tanzania's history

800s Kilwa is established as a trading settlement by Arabs, whilst Persian
traders settle at Pemba and on Zanzibar.

1200The distinctive mix of Arabs, Persians and Africans develops into the Swahili culture.

1498Vasco da Gama, Portuguese explorer, sails up Tanzanian coast.

1500-09Swahili ports along the Tanzanian coast are seized by Portuguese.

1699Zanzibar is commandeered by Omanis who make it the centre of their maritime empire, eventually to become its capital.

1858Richard Burton and John Hanning Speke arrive at Lake Tanganika and Lake Victoria.

1867British campaign against Zanzibar slave trade starts.

1873The Sultan of Zanzibar is forced to close his slave market by the British.

1884The Gesellschaft für Deutsche Kolonisation (Society for German Colonisation), co-founded by Carl Peters, begins exploring the mainland.

1885With the conclusion of the Berlin West African Conference a German protectorate is created in East Africa under the control of the Deutsch Osta-Afrikanischen Gesellschaft (German East-African Society) .

1890Britain takes over Zanzibar as a protectorate.

1891Deutsch-Ostafrika (German East Africa) colony is created.

1905-07Maji Maji Rebellion put down by German troops.

1914General Paul Emil von Lettow-Vorbeck, the commander of German forces in East Africa, begins a guerrilla style war against the British and her Allies.

1916Majority of German East Africa is occupied by British and South African troops.

1919Following the defeat of German in the Great War, Tanganyika is given by the League of Nations as a mandate to the British.

1929Formation of the Tanganyika African Association (TAA) .

1946British mandate over Tanganyika is converted into a trusteeship by the United Nations.

1954Julius Kambarage Nyerere and Oscar Kambona create the Tanganyika African National Union (TANU) out of the remnants of the TAA.

1958Tanganyika is given internal self-government by the British.

1961Tanganyika achieves independence (9 December) .

1962Julius Kambarage Nyerere is first president of the newly formed Republic of Tanganyika (9 December), having previously served as Prime Minister under the British Governor-General Richard Gordon Turnbull. Nyerere introduces his own form of African socialism.

1963Zanzibar achieves independence (10 December) .

1964In a violent revolution, left-wing forces overthrow the Sultanate of Zanzibar and the People's Republic of Zanzibar is proclaimed (12 January). Shortly after Tanganyika and Zanzibar are merged together as the United Republic of Tanganyika and Zanzibar (26 April) with Nyerere as president (and Abeid Amani Rashid Karume as president of Zanzibar). The United Republic of Tanzania was proclaimed on 29 Oct.

1967Arusha Declaration - President Nyerere outlines his own version of socialism, Ujamaa. Nyerere's vision called for socialism, self-reliance and a belief in human equality (5 February) .

1975The Tanzania-Zambia railroad (known as the Tan-Zam) is completed.

1977Merger of Tanzania African National Union (TANU) and Zanzibar's Afro-Shirazi Party (ASP) to create the Chama Cha Mapinduzi (CCM - Revolutionary State Party). The CCM is declared to be the only legal political party in Tanzania.

1978With the assistance of Libyan troops, Idi Amin attempts to annex Kagera, Tanzania's northern province.

1979Tanzanian forces invade Uganda and capture the capital Kampala. The president of Uganda, Idi Amin, flees to Libya.

1985President Ali Hassan Mwinyi comes into power, Mwinyi had been president of Zanzibar (5 November). Nyerere's socialist experiment is eased.

1992Tanzania's constitution is amended to allow multi-party democracy.

1994Tanzania accepts 800,000 refugees form ethnic violence in Rwanda and Burundi.

1995Benjamin William Mkapa of the CCM becomes president after first multi-party elections (23 November).

1998US embassy buildings in Dar es Salaam are destroyed by a terrorist blast.

1999Julius Kambarage Nyerere dies (14 October) .

2001Offices of opposition party, Civic United Front (CUF), in Zanzibar are raided: two people are killed. Period of violence follows the government's ban on opposition rallies. The CCM and CUF finally reach agreement and normality is restored. Tanzania rekindles the East African Community with Kenya and Uganda. Presidents of all three countries launch a regional parliament and court of justice to act on common matters.

2005Jakaya Mrisho Kikwete of the CCM becomes president (21 December).
 
1498Vasco da Gama, Portuguese explorer, sails up Tanzanian coast.

1500-09Swahili ports along the Tanzanian coast are seized by Portuguese

Majimoto.
Aya hizo zinapotosha Historia Tanzania haikuwepo hata katika Fikira na hao wabunifu wake pia walikuwa hawajazaliwa.
Tujaribu kuzingatia ukweli badala ya kulazimisha mambo na kujaribu kuyasimplifay, Hakuna nchi iliyopata UHURU kwa jina la TANZANIA huo ndio ukweli na hakuna maelezo yoyote yanayoweza kufuta ukweli huu. Leo 09 12 2009 Tunasheherekea UHURU wa TANGANYIKA. (MUNGU IBARIKI TANGANYIKA)
 
Nakupenda Tanzania nchi yangu
Nakupenda Rais Kikwete, Rais wa nchi yangu
Nakupenda Tanzania, Nakupenda Tanzania
Uendelee kuishi miaka mingi Tanzania
Wanaokuonea kijicho na wafilie mbali
Nakupenda Tanzania, Nakupenda Tanzania
 
Thanks for the history of TZ swahili coast. But its also important to recognize the mainland, the bantus, "Khoisan" and "nilo-hamite".

Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote
nchi yangu Tanzania
jina lako ni tamu saaaana
nilalapo nakuota wewe
niamkapo ni kheri mama weeee

HAPPY 48th ANNIVESARY
 
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote
nchi yangu Tanzania
jina lako ni tamu saaaana
nilalapo nakuota wewe
niamkapo ni kheri mama weeee
Senks kwasababu mimi na wewe tunaipenda nchi yetu nzuri Tanzania pamoja na Rais wake

Happy independence Tanzania
 
Sasa mtu unakata siku yako ya kuzaliwa?? na unaita ubaguzi ?mbona sie hatulalamiki mnapotutakia kila lakheri tukisherekea siku ya sherehe za mapinduzi

Mhh Sonara, mbona unaonyesha hali ya kujitenga namna hiyo??? Hilo neno nililo-bold lina maana kuwa sana!!!! yana kuna u-sisi na u-wao....Sisi Mapinduzi na Wao-Uhuru....
 
HAPPY INDEPENDENCE DAY!

God bless Tanzania, God bless Africa, God bless you all!

Acha masihara bwana, miaka karibu 50 bado tunatumia jembe la mkono,hata umeme hatuna, happy ya aina gani hii? Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!
 
Thanks for the history of TZ swahili coast. But its also important to recognize the mainland, the bantus, "Khoisan" and "nilo-hamite".

Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote
nchi yangu Tanzania
jina lako ni tamu saaaana
nilalapo nakuota wewe
niamkapo ni kheri mama weeee

HAPPY 48th ANNIVESARY
nikiona huu wimbo nakumbuka migomo ya SUA, ulikuwa unatia hasira sana ukianza kuibwa, kazi inabaki moja tuu kuchapa ambao wameingia madarasani, baba MSOLA umetutesa sana bora wakufiche huko wizarani.
 
Acha masihara bwana, miaka karibu 50 bado tunatumia jembe la mkono,hata umeme hatuna, happy ya aina gani hii? Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!
kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom