Joshua aliwakosea nini HAMAS?

The Whistleblower

Senior Member
Dec 9, 2022
137
224
Ni Mtanzania, na Tanzania haina upande wowote kwenye siasa za kimataifa, na zaidi ya yote Palestina ina Ubalozi wake Tanzania.

Alienda kusoma Israel, na yeye akatekwa HAMAS walipoivamia Israel, kwenye Video iliyoenea kwenye mitandao ya kijamii, inaonyesha Joshua akilia huku akiwaomba msamaha HAMAS wasimuue, lakini walimuua kikatili kisha maiti yake wakaitupa na ikaokotwa na jeshi la Israel.

Joshua alikuwa akimiliki ardhi ya Wapalestina? Joshua alikuwa Askari mamluki aliyekamatwa akipigana vita Gaza? Joshua aliwahi kuua Wapalestina? Majibu ni hapana.

Joshua alienda kusomea kilimo, ndio magaidi ya HAMAS yakamteka pamoja na Raia wengine wakiwamo wa Israel.

HAMAS wana chuki na wa Israel tunajua, sasa Joshua aliwakosea nini hadi kumuua kikatili hivyo?

Nakulilia Joshua, hukuwa na hatia, halafu kuna mijitu pumbavu imejaa humu kisa Udini inashabikia ujinga ujinga.

Damu yako Joshua haijamwagika bure, ndio maana huko Gaza wanazidi kupukutika tu, watakuja kutahamaki na kukuta wamebaki elfu tano tu

God bless Israel, God bless America, God bless Tanzania.
 
Ni mtanzania,na Tanzania haina upande wowote kwenye siasa za kimataifa,na zaidi ya yote Palestina ina Ubalozi wake Tanzania.
Alienda kusoma Israel,na yeye akatekwa HAMAS walipoivamia Israel, kwenye Video iliyoenea kwenye mitandao ya kijamii,inaonyesha Joshua akilia huku akiwaomba msamaha HAMAS wasimuue, lakini walimuua kikatili kisha maiti yake wakaitupa na ikaokotwa na jeshi la Israel.
Joshua alikuwa akimiliki ardhi ya Wapalestina? Joshua alikuwa Askari mamluki aliyekamatwa akipigana vita Gaza? Joshua aliwahi kuua wapalestina? majibu ni hapana.
Joshua alienda kusomea kilimo,ndo magaidi ya HAMAS yakamteka pamoja na Raia wengine wakiwamo wa Israel.
HAMAS wana chuki na wa Israel tunajua, sasa Joshua aliwakosea nini hadi kumuua kikatili hivyo?
Nakulilia Joshua,hukuwa na hatia, halafu kuna mijitu pumbavu imejaa humu kisa Udini inashabikia ujinga ujinga.
Damu yako Joshua haijamwagika bure,ndo maana huko Gaza wanazidi kupukutika tu, watakuja kutahamaki na kukuta wamebaki Elfu Tano tu

God bless Israel, God bless America,God bless Tanzania.
 
Kama ulifuatilia hilo tukio, basi utagundua kuna mamia ya watu kutoka Mataifa mbalimbali waliuwawa na wengine kutekwa na hao Hamas hiyo Oktoba 7!

Na wakulaumiwa hapa ni vyombo vya dola vya Israel kwa uzembe wao, na pia kwa kushindwa kuwalinda raia wasio na hatia dhidi ya hao wanangambo wa Hamas.
 
Alikuwa na pensi ya jeshi. Kwa hilo tu Huenda ilikuwa ngumu kuwaaminisha yeye hayuko Israel kwa shughuli za kijeshi.
 
Kisa kuwepo Israel, kwani kwenda Israel ni kosa upuz mtupu hawa fknhead

Ova
 
Sasa ndugu zangu, kama tuna uchungu Sana na damu ya mweusi mwenzetu(inaonekana damu ya Arabs inayomwagwa na jews, haituumi), mbona kenge jiwe,na CCM, wameua watz wengi tu! Mbona hatupigi kelele!hz kelele kuhusu huyo Joshua, zainapigwa na wakristo wabongo weusi,lakini wakati kanisa katoriki Rwanda linashiriki kuua Watusi, wakristo walikaa kimya! Brodfscken
 
Kama ulifuatilia hilo tukio, basi utagundua kuna mamia ya watu kutoka Mataifa mbalimbali waliuwawa na wengine kutekwa na hao Hamas hiyo Oktoba 7!

Na wakulaumiwa hapa ni vyombo vya dola vya Israel kwa uzembe wao, na pia kwa kushindwa kuwalinda raia wasio na hatia dhidi ya hao wanangambo wa Hamas.
Nyau wewe
 
JUSTICE FOR JOSHUA AND CLEMENCE.

ISRAEL DON'T SORT THEM JUST KILL THEM ALL.

GOD BLESS JOSHUA AND CLEMENCE.

GOD BLESS THE KURDS

HOD BLESS SAUDI ROYAL FAMILY

GOD BLESS AMERICA.

GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL.

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE.

IN JESUS WE MUST TRUST AND WORSHIP.

IF YOU DON'T LOVE JESUS WHO THE HELL WILL YOU

HUNIAMBII KITU KUHUSU YESU NA ISRAEL.
 
Ni Mtanzania, na Tanzania haina upande wowote kwenye siasa za kimataifa, na zaidi ya yote Palestina ina Ubalozi wake Tanzania.

Alienda kusoma Israel, na yeye akatekwa HAMAS walipoivamia Israel, kwenye Video iliyoenea kwenye mitandao ya kijamii, inaonyesha Joshua akilia huku akiwaomba msamaha HAMAS wasimuue, lakini walimuua kikatili kisha maiti yake wakaitupa na ikaokotwa na jeshi la Israel.

Joshua alikuwa akimiliki ardhi ya Wapalestina? Joshua alikuwa Askari mamluki aliyekamatwa akipigana vita Gaza? Joshua aliwahi kuua Wapalestina? Majibu ni hapana.

Joshua alienda kusomea kilimo, ndio magaidi ya HAMAS yakamteka pamoja na Raia wengine wakiwamo wa Israel.

HAMAS wana chuki na wa Israel tunajua, sasa Joshua aliwakosea nini hadi kumuua kikatili hivyo?

Nakulilia Joshua, hukuwa na hatia, halafu kuna mijitu pumbavu imejaa humu kisa Udini inashabikia ujinga ujinga.

Damu yako Joshua haijamwagika bure, ndio maana huko Gaza wanazidi kupukutika tu, watakuja kutahamaki na kukuta wamebaki elfu tano tu

God bless Israel, God bless America, God bless Tanzania.
Kumbe waliliwa ni wanajeshi wa esrael. Kila kitu kina mwanzo na mwisho.

Screenshot_20231228-034502.png
Screenshot_20231228-034529.png
 
Back
Top Bottom