Watuambie Yale majambia waliyaficha wapi!!
HIZBU MNA TABUUUhii siku wana CCM na washirika wao wanaikwepa sana.
Happy Independence Day !!!
View attachment 2838655
Sasa tangu lini sisi ASP tukateseka...
Tulimfukuza mwarabu sababu kwao ni oman na sio kwetu...
Hizbu mnaumia kweli
Rudini oman mtuachie visiwa vyetu wabantu...chuki za kidini ndio zinazokusumbueni
Haaiogopi, wanailani. Ndiyo siku Mkoloni alipotaka kukamilisha biashara ya utuma. kunawa mikono kutukabidhi utumwani. Hata mwezi haukupita Mashujaa wakapindua. Nasikia CHADEMA wanasema tusherehekee Tanganyika tar 9 Des na Zanzobar 10 Des kumkumbuka Sultani na Shamte.hii siku wana CCM na washirika wao wanaikwepa sana.
Happy Independence Day !!!
View attachment 2838655
Tuendelee kuienzihii siku wana CCM na washirika wao wanaikwepa sana.
Happy Independence Day !!!
View attachment 2838655
Rudini oman mtuachie visiwa vyetu wabantu...
Haaiogopi, wanailani. Ndiyo siku Mkoloni alipotaka kukamilisha biashara ya utuma. kunawa mikono kutukabidhi utumwani. Hata mwezi haukupita Mashujaa wakapindua. Nasikia CHADEMA wanasema tusherehekee Tanganyika tar 9 Des na Zanzobar 10 Des kumkumbuka Sultani na Shamte.
John okello baba wa Taifa la Zanzibar