afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,215
HA ha ha ha Manguree muulize Finest ilivomfanya nilivyomletea ipo ipo hilo kuwa na uhakika
Umetaja jina la THE FINEST..
mamamaa wewe na wasi wasi hakuna Mangure iliyobaki..
hahahah lol
HA ha ha ha Manguree muulize Finest ilivomfanya nilivyomletea ipo ipo hilo kuwa na uhakika
..Ameeen. Thank u BroLong live kivumah...
hahaha So AD, tupewe kamati ya vinywaji kabisa? Manake hapo tu tenda ya kutafuta ukumbi imekuwa nongwa:tongue:
Love I am telling you nimejipanga!! (i hope tusiahirishe safari kama last time nilipotoka 'exy...) I was so MAD!! lol
Umetaja jina la THE FINEST..
mamamaa wewe na wasi wasi hakuna Mangure iliyobaki..
hahahah lol
Thanx Kiongozi. Sante sana.
@Red, ya kwako Nakushauri usiiiweke kiononi
Aisee Kaizer
mmmhhhh
Idara ya Vinywaji HAPANA aisee. duhhh
Yaahi hapo mtanisamehe.. Nyie mje tu kama wageni
mi ntafurahi hahahahah lol sawa aee..
Ha ha ha mie simo.......................
AD dear...unaifahamu methali ya "mchawi mpe mtoto alee"?
apo bold...sounds sweet karibu nikubali hoja lakini hapana....hiyo kamati inatuhusu bana
Sis
Naomba uniambie hujamkabithi
The Finest Manguree..
Love....leo kwa heshima ya Kivuma......nita act ukubwa so hatutaahirisha safari...lets make Kivuma's party a real...lol (ndo maana nitakuwa na silaha kabisa)
Unajua Yona (Petro) alimka Yesu mara tatu..
Kaizer naomba usikane .. Niokoe mimi na
Kamati yangu takatifu ...
Nakuomba kutoka juu ya moyo wangu
uiachie hiyo kamati...
Ubarikiwe kila kona .. hahahah lol
Mi sina tatizo na kamati AD.....tatizo ni members
Yaani kila kitu alipokea so kazi ndo ipo hapo sasa maana atasema nimemsemaa hadharani
Ngoja nkaongee nae kwa HERUFI KUBWA...
mmhhh
yaonekana we wajua zaidi yangu ikija kwenye za kienyeji ..
yabidi nkuachie hiyo kazi mkuu.. wa Mwanza, Singida , Tabora na
kote kwenye Pombe za kienyejizina karibishwa
hahahahahah lol
Mi kwenye vinywaji nakutoa aisee..
we na TF mmmhhhhhh
nyie njoeni tu mu Enjoy basi..
AshaDii yuko hapo kapendeza haitapendeza
we kuhangaikia vinywaji umwache mamitoo mwenyewe..
TF ntaunganisha mguu wake na wangu..
dahhhhh naona tumemaliza kwa sasa..
sawa aee..
ahahaha! thanks kwa kunipa kazi, angalia avatar yangu, nilishinda kwenye mtungi wa wanzuki.