####### Happy Birthday Kivumah######

Kabla ya kendelea na huu mpangilio... VIP kuna ladies?? maana kama ni hivo mie naona nitagoma (Abiria linda mzigo wako in motion...lol)

ladies wapo .. Hizo idara hapo juu ni uangalizi tu ..
haupiki wala nini .. wafika pale chukua check list
hakikisha kila kitu kipo hapo .. halafu unaelekea ukumbini basi..
(V.I.P section..)

nimesha tayarisha chief, waiters na waitress ...
 


Kivumah mie nakutumia keki tuuuuu Happy Birthday Kivumah

DA

Mmmh we dada ulikuwa wapi?? You are most
rl00us.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom