####### Happy Birthday Kivumah######

Naomba mnielekeze hivi stoo ya vinywaji iko upande gani nataka kwenda kuhakikisha kama vinywaji vinatosha jamani
 
mi hiyo avatar yako imenivutia..
ntakuomba tucheze kidoncho kwenye party
ukipata nafasi .... na kideku cha wanzuki kwa pembe
hahahaha lol ..:)

The Following User Says Thank You to zumbemkuu For This Useful Post:

afrodenzi (Today)​

ahahaahahaha! dah! usinipandishe mzuka saizi kabla party haijaanza, pombe yenyewe bado haijaiva vizuri kwenye mitungi.
 
sihitaji mtu anisindikize kwenye stoo ya vinywaji naweza kwenda mwenyewe AD na Dena nipe tu direction basi inatosha
 
Hivi Sinziga... Sangara... wakwap??? Maana Birthday boy najua yupo na home kwetu...
 
sihitaji mtu anisindikize kwenye stoo ya vinywaji naweza kwenda mwenyewe AD na Dena nipe tu direction basi inatosha

My dear im so sorry
lakini we haupo kwenye idara ya vinywaji ..
we na Kaizer .. Hapana..

Nyie njoeni tu kama V.I.P basi ..
hahahah lol :)
 
ahahaahahaha! dah! usinipandishe mzuka saizi kabla party haijaanza, pombe yenyewe bado haijaiva vizuri kwenye mitungi.

hahahahah
duhhhh hizi pombe za kienyeji
si zinatakiwa ziwe zimepikwa tangu wiki iliyopita au ??
usiniangushe naombaaaaa..:)
 
Happy Birthday mkuu....
nasikia kuna party wapi hiyo???
au ni porojo za jamvini?
wewe na JK siku moja anyway long live mkuu
 
HAppy Bday Kivuma na hongera kwa kugonga hapo...kama alivosema Sangara akimnukuu Lincoln, kitakachotukumbusha uwepo wako ni maisha uliyoishi sio umri!

Love AshaDii hebu tujiandae twende...today I want you to have that look that kills me off...nitakuwa na ile pistol kama kawaida just in case

Khaaaa! Shemeji mbona ilitakiwa kuwa siri hii
Kuna elite forces zamlinda SL wangu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom