####### Happy Birthday Kivumah######

hahaha So AD, tupewe kamati ya vinywaji kabisa? Manake hapo tu tenda ya kutafuta ukumbi imekuwa nongwa:tongue:

Aisee Kaizer
mmmhhhh
Idara ya Vinywaji HAPANA aisee. duhhh
Yaahi hapo mtanisamehe.. Nyie mje tu kama wageni
mi ntafurahi hahahahah lol :) sawa aee..
 
Love I am telling you nimejipanga!! (i hope tusiahirishe safari kama last time nilipotoka 'exy...) I was so MAD!! lol

Love....leo kwa heshima ya Kivuma......nita act ukubwa so hatutaahirisha safari...lets make Kivuma's party a real...lol (ndo maana nitakuwa na silaha kabisa)
 
Aisee Kaizer
mmmhhhh
Idara ya Vinywaji HAPANA aisee. duhhh
Yaahi hapo mtanisamehe.. Nyie mje tu kama wageni
mi ntafurahi hahahahah lol :) sawa aee..

AD dear...unaifahamu methali ya "mchawi mpe mtoto alee"?
apo bold...sounds sweet karibu nikubali hoja lakini hapana....hiyo kamati inatuhusu bana
 
AD dear...unaifahamu methali ya "mchawi mpe mtoto alee"?
apo bold...sounds sweet karibu nikubali hoja lakini hapana....hiyo kamati inatuhusu bana

Unajua Yona alimka Yesu mara tatu..
Kaizer naomba usikane .. Niokoe mimi na
Kamati yangu takatifu ...

Nakuomba kutoka juu ya moyo wangu
uiachie hiyo kamati...

Ubarikiwe kila kona .. hahahah lol
 
Unajua Yona (Petro) alimka Yesu mara tatu..
Kaizer naomba usikane .. Niokoe mimi na
Kamati yangu takatifu ...

Nakuomba kutoka juu ya moyo wangu
uiachie hiyo kamati...

Ubarikiwe kila kona .. hahahah lol

Mi sina tatizo na kamati AD.....tatizo ni members
 
Mi sina tatizo na kamati AD.....tatizo ni members

hahahahahah lol
Mi kwenye vinywaji nakutoa aisee..
we na TF mmmhhhhhh
nyie njoeni tu mu Enjoy basi..

AshaDii yuko hapo kapendeza haitapendeza
we kuhangaikia vinywaji umwache mamitoo mwenyewe..

TF ntaunganisha mguu wake na wangu..
dahhhhh naona tumemaliza kwa sasa..
sawa aee..:)
 
mmhhh
yaonekana we wajua zaidi yangu ikija kwenye za kienyeji ..
yabidi nkuachie hiyo kazi mkuu.. wa Mwanza, Singida , Tabora na
kote kwenye Pombe za kienyejizina karibishwa :)

ahahaha! thanks kwa kunipa kazi, angalia avatar yangu, nilishinda kwenye mtungi wa wanzuki.
 
hahahahahah lol
Mi kwenye vinywaji nakutoa aisee..
we na TF mmmhhhhhh
nyie njoeni tu mu Enjoy basi..

AshaDii yuko hapo kapendeza haitapendeza
we kuhangaikia vinywaji umwache mamitoo mwenyewe..

TF ntaunganisha mguu wake na wangu..

dahhhhh naona tumemaliza kwa sasa..
sawa aee..:)

orait orait,,,,,,sema sweetie wangu AshaDii asingeniacha niroam around....lol
 
ahahaha! thanks kwa kunipa kazi, angalia avatar yangu, nilishinda kwenye mtungi wa wanzuki.

mi hiyo avatar yako imenivutia..
ntakuomba tucheze kidoncho kwenye party
ukipata nafasi .... na kideku cha wanzuki kwa pembe
hahahaha lol ..:)

[h=2]The Following User Says Thank You to zumbemkuu For This Useful Post:[/h]
afrodenzi (Today)​
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom