####### Happy Birthday Kivumah######

Party ya .. Kivumah

Muda.. 7.30 PM
Siku .. Friday
Sehemu.. Peacock Hotel

Nyote mnakarishwa..

Dress to impress ..

...Now you are talking.
Mpango mzima pale kati, Super
Tangazo: Wageni 20 wa kwanza kuingia Peacock, for this party, mnidai Zawadi. Nimeiandaa
 
I'll pass by to pick up your dress and the cocktail bottle

ndo maana nakupenda bure .. mwahhhh
haya ngoja mi niende kumalizia malizia mambo
kule ukumbini baadaye ..

uniletee gauni langu kule basi na viatu vile Vyekundu..
na hilo bagi hapo kitandani usilisahau..

see you soon .. mwahhhhhhh
 
huo ndo mwaliko my dear ...

hahaha avatar ya Rejao ni Mr. Burn
Yule anae penda kusema "excellent"

haaa haaa thanks my dear,
ngoja niende jukwaa la siasa nimtafute Rejao halafu nimshawishi aweke hii Picha iwe Avatar yake..
I will be back
 
ndo maana nakupenda bure .. mwahhhh
haya ngoja mi niende kumalizia malizia mambo
kule ukumbini baadaye ..

uniletee gauni langu kule basi na viatu vile Vyekundu..
na hilo bagi hapo kitandani usilisahau..

see you soon .. mwahhhhhhh
Alright love.
 
iStock_thank_you_flower_resized.jpg
 
Hapa kuna mtoto kazaliwa siyo?

Kuna mtu kati yenu anaweza kuja ki=uniambia kwanini ODM hakupewa hizi habari mapema.........

Wakati nikimtakia Kivumah heri ya siku yake ya kuzaliwa, Naenda kaunta kulewa then narudi hapa kucharaza watu bakora.

Kaizer popote pale ulipo, naomba mwongozo wako manake ndo hivyo tena tushapata sababu ya kulewa leo.
 
happy birthday Kivumah!, Mwenyezi Mungu akuongoze kwa kila unachokifanya, akupe maisha marefu yenye hofu yake.
 
Hapa kuna mtoto kazaliwa siyo?

Kuna mtu kati yenu anaweza kuja ki=uniambia kwanini ODM hakupewa hizi habari mapema.........

Wakati nikimtakia Kivumah heri ya siku yake ya kuzaliwa, Naenda kaunta kulewa then narudi hapa kucharaza watu bakora.

Kaizer popote pale ulipo, naomba mwongozo wako manake ndo hivyo tena tushapata sababu ya kulewa leo.
...Asante saana Babu,
Toka asubuhi unauliziwa hapa, hata ile kamati ya Party, kuna majukumu nadhani umepewa. Chungulia.
Umekula keki yako lkn, kama wamekumalizia waongeze kiboko kimoja kimoja cha kwangu hicho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom