Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,159
- 4,443
View attachment 19736
Mimi ni Mtanzania ninaishi Lughombo Mwakaleli Mbeya, nimekuwa na bahati mbaya sana ya kukimbiwa na mke kila ninapokuwa nimeanza naye rasmi masuala ya unyumba, tena mbaya zaidi hata bila hata kuambiwa kosa langu. Mimi nimeshika dini hivyo sipendi kufanya mapenzi na mtu mpaka nitakapo kamilisha taratibu za kuoa, Naomba ushauri nakosea wapi? Kwasasa natafuta mke ambaye ataweka bayana mapungufu yangu ninapomkosea ili nipate nafasi ya kujirekebisha.