Hapa kosa langu nini????????

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,443
View attachment 19736

Mimi ni Mtanzania ninaishi Lughombo Mwakaleli Mbeya, nimekuwa na bahati mbaya sana ya kukimbiwa na mke kila ninapokuwa nimeanza naye rasmi masuala ya unyumba, tena mbaya zaidi hata bila hata kuambiwa kosa langu. Mimi nimeshika dini hivyo sipendi kufanya mapenzi na mtu mpaka nitakapo kamilisha taratibu za kuoa, Naomba ushauri nakosea wapi? Kwasasa natafuta mke ambaye ataweka bayana mapungufu yangu ninapomkosea ili nipate nafasi ya kujirekebisha.
 
Kabla sijakupa ushauri naomba kujua hili, umeshakimbiwa na wake wangapi?
 
Mmhh makubwa, tafuta rafiki wa mmoja wapo wa hao wake zake inawezekana mke wako akawa amemweleza shida ni nini mpaka akakimbia, na hao wote wanaokukimbia huwa mnakuwa mmeshafunga ndoa?
 
Mmmmmh naomba tu nikuambie huna kosa wala wao hawana makosa ni kushindwa kuhimili ukubwa wa kiungo unachotumia kwenye unyumba.Pole sana,kinachonishinda ni je huwa unavaa kama ulivyovaa wanaona maumbile yako then wanakubali kuolewa na wewe au unakuwa hivyo wakati ukiwa tayari kufanya hilo tendo so wanakuwa kabisa hawajawahi kukuona??? Mi nafikiri show them what your mother gave you before marriage and let them decide kama waingie au vipi????????ukikimbiwa na kama sita wa saba utapata saizi yako as najua wapo wanaotafuta saizi kama yako.Its all about taking risk (wear protection) and determination.Wasalimu sana huko Mwakaleli,tunawapenda.
 
unajua kuna watu hawawezi kuvumilia vituko vya mtu, ukizingatia kama bado hamjaowana, ndio kabisaa?
then nivizuri ungejaribu kufuatilia ni kwa nini mambo hayo yanakutokea, ukizingatia wewe ni mtumishi wa Mungu
pia nadhani ukitulia na Mungu atakupa jibu sahihi, na atakupa aliye wakwako. acha kutumia akili zako Mungu anaweza yote ongea naye
sikio lake si zito wala asiweze kusikia na mkono wake si mfupi asiweze kuokoa, kumbuka amesema yeye ni Mungu aliye karibu, pia anatuwazia mema katika siku zetu za mwisho
all the best mtumishi
 
View attachment 19736

Mimi ni Mtanzania ninaishi Lughombo Mwakaleli Mbeya, nimekuwa na bahati mbaya sana ya kukimbiwa na mke kila ninapokuwa nimeanza naye rasmi masuala ya unyumba, tena mbaya zaidi hata bila hata kuambiwa kosa langu. Mimi nimeshika dini hivyo sipendi kufanya mapenzi na mtu mpaka nitakapo kamilisha taratibu za kuoa, Naomba ushauri nakosea wapi? Kwasasa natafuta mke ambaye ataweka bayana mapungufu yangu ninapomkosea ili nipate nafasi ya kujirekebisha.

...in a light touch: Ezan, hivi umehawi kunyweshwa dawa ya 'Ndimilo" kule Mwela? kwa maana inasaidia sana kuondoa mikosi ya aina hiyo!
 
Mmhh makubwa, tafuta rafiki wa mmoja wapo wa hao wake zake inawezekana mke wako akawa amemweleza shida ni nini mpaka akakimbia, na hao wote wanaokukimbia huwa mnakuwa mmeshafunga ndoa?

Yes!!!!!
 
Ni wa kawaida kabisa ndugu yangu

Kama hivyo ndivyo, tatizo ni moja tu......huwafikishi kileleni. Na kama tatizo hili likiendelea hata huyo mpya atakukimbia au akikaa jamaa wa nje watakuwa wanakuchapia.
 
Nini kifanyike?
 
Nini kifanyike?

Hapatoshi hapa. Tafuta mtaalamu wa mambo ya kujamiiana akupe mbinu ambazo ukizitumia hata yule wa zamani akisikia atataka kurudi. Kuna mambo ukimfanyia mwenyewe anafika kileleni na hawezi kukukimbia. Kuna vitabu pia, niliwahi kununua kimoja safi sana kinaitwa "How to give her an absolute pleasure"
 
Wazo zuri ngoja nilifanyie kazi
 
attachment.php
 
View attachment 19736

Mimi ni Mtanzania ninaishi Lughombo Mwakaleli Mbeya, nimekuwa na bahati mbaya sana ya kukimbiwa na mke kila ninapokuwa nimeanza naye rasmi masuala ya unyumba, tena mbaya zaidi hata bila hata kuambiwa kosa langu. Mimi nimeshika dini hivyo sipendi kufanya mapenzi na mtu mpaka nitakapo kamilisha taratibu za kuoa, Naomba ushauri nakosea wapi? Kwasasa natafuta mke ambaye ataweka bayana mapungufu yangu ninapomkosea ili nipate nafasi ya kujirekebisha.

tehe,tehe very creative......
 
teh!Kiongozi mi nadhani unaokutana nao si wale wahitaji wa miguu mitatu kamili ndio shida inapoanzia hapo,hao ni wale wa miguu miwili na robo,so mkuu we fanya jitihada umpate yule mhitaji wa miguu mitatu kamili nadhani hapo huyo atakuwa mwenzio for life...so we chakachua kabla wajue habari ya miguu mitatu mapema kwani kosa lipo mitaa hiyo mkuu...
 
unapopata mke nadhani ufunge ndoa nae mara moja maana wewe ni mtumishi na huwezi ku'do' hadi ufunge ndoa wakati kwa mabinti wengi wa kileo watajua wewe ni function less hivyo anaogopa ukifunga ndoa tu atakuwa ameshapoteza mda wake, hayo ni sehemu ya majaribu na majaribu ni mtaji wa kupima imani yako huna budi kuyashinda
 
naona former US VICE PRESIDENT (DICK) Cheney amenenepa!:rain::wink2:
 
Back
Top Bottom