Hapa babu amenichanganya. Anahamia sehemu nyingine!

Stevemike

Senior Member
Mar 12, 2011
117
15
Kama sijasahau tu, babu alipoanza kutoa tiba, wengi walimshauri atoke pale aende mahali palipo na miundombinu safi ili iwe rahisi kwa watu kufika bila shida na kupata mahitaji yao bila shida, lakini babu alidai Mungu amemwambia akae palepale na akitoka pale, ile dawa haitafanya kazi. Leo imekuwaje anataka kuhamia kwingine? Mungu amegeuka? Mbona biblia inasema Mungu si kegeugeu? Haya tuendelee! Miss judith, kipindupindu msisahau kushika keyboard.
 
Babu ahamia Masaki Dsm.
Umaarufu unapoongezeka maagizo ya Mungu huwekwa kando.
Badala ya kukaa na kusali sana yeye daima yuko kwenye vyombo vya habari.
 
amejivua gamba, mchakachuaji, kigeu geu, usanii tu na ameshakuwa mwanasiasa. Haya yote yanaonyesha kuwa babu ni msanii tu.
 
Babu alishasema mwanzoni mwa mwezi Aprili kwamba Mungu amemwonyesha sehemu nyingine ya kutolea huduma,ambayo ni nyuma ya mlima kwenye bonnde lililokuwa linaitwa bonde la mauti, nafikiri ni nyuma ya mlima uliopo pale samunge ambapo patakuwa mbali zaidi. Alisema bonde hilo zamani Wasonjo walilitumia kutupa maiti hapo, walikuwa hawaziki. Amesema sasa bonde hilo litaitwa bonde la uzima, alikuwa anasubiri tu Mungu amwambie ni lini ahamie. Alisha toa rai kwa serikali kuimarisha miundo mbinu ya huko kuliko pale Samunge.
Hayo nime nukuu kutoka kwa babu mwenyewe.
 
ha ha ha ,,,, babu anahama? hapo tayari nimeshapoteza imani na dawa yake!
 
Babu alishasema mwanzoni mwa mwezi Aprili kwamba Mungu amemwonyesha sehemu nyingine ya kutolea huduma,ambayo ni nyuma ya mlima kwenye bonnde lililokuwa linaitwa bonde la mauti, nafikiri ni nyuma ya mlima uliopo pale samunge ambapo patakuwa mbali zaidi. Alisema bonde hilo zamani Wasonjo walilitumia kutupa maiti hapo, walikuwa hawaziki. Amesema sasa bonde hilo litaitwa bonde la uzima, alikuwa anasubiri tu Mungu amwambie ni lini ahamie. Alisha toa rai kwa serikali kuimarisha miundo mbinu ya huko kuliko pale Samunge.
Hayo nime nukuu kutoka kwa babu mwenyewe.

bila shaka mungu aliyemwonyesha hiyo dawa anaishi huko
 
wewe mjanja.......
 
Kama sijasahau tu, babu alipoanza kutoa tiba, wengi walimshauri atoke pale aende mahali palipo na miundombinu safi ili iwe rahisi kwa watu kufika bila shida na kupata mahitaji yao bila shida, lakini babu alidai Mungu amemwambia akae palepale na akitoka pale, ile dawa haitafanya kazi. Leo imekuwaje anataka kuhamia kwingine? Mungu amegeuka? Mbona biblia inasema Mungu si kegeugeu? Haya tuendelee! Miss judith, kipindupindu msisahau kushika keyboard.
Mtajisemesha sana!
lAKINI REJEA POST NO 6 hapo juu!
Babu anaenda mbali zaidi ya pale alipo, ambako ni milimani zaidi, wala hafuati ushauri wa mtu wa kusogeza huduma mjini!
Kwahiyo mtatunga kila neno la kejeli, lakini mwisho wa siku haitawasaidia!
Nyie mnajisemea, lakin babu anafuata maagizo!
 
Ameona soko lake linakaribia kupoteza umaarufu kwa hiyo inabidi abuni mbinu nyingine atoke vipi ili aendelee kupata mshiko.Huoni siku hizi hata sura yake ing'ara na mikunjo imefifia?
D
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom