Hapa babu amenichanganya. Anahamia sehemu nyingine!

Ameona soko lake linakaribia kupoteza umaarufu kwa hiyo inabidi abuni mbinu nyingine atoke vipi ili aendelee kupata mshiko.Huoni siku hizi hata sura yake ing'ara na mikunjo imefifia?
D

ndugu mwogope Mungu wako, maneno mengine hugeuka laana baadae. Mi nawashangaa yule mzee hajalazimisha mtu aende kwake, wanaoenda ni kwa hiari zao. So ya nini kumkejeli na kumdhihaki? Ukiona ni tapeli c uache kwenda. Binafsi sijaenda huko loliondo lakn sioni kama ni busara kuropoka maneno mbofumbofu wakat sina uhakika kama ni tapeli kweli. Ukweli wa tiba yake wanaujua walioenda. Angalizo- babu anatumia imani ya dini ambayo si wote mnaiamini so heshimuni katiba ya nchi inavyosema basi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom