Hamadi Rashid afunguka; adai Mtatiro, hajarejesha 'chenji' ya helikopta!

Hakuna kitu kama hicho, ni propaganda tu ambazo hazina maana yoyote ile. Mikataba ya kukodi helikopta niliisaini mie on line nikiwa igunga, malipo yalifanywa na ofisi kuu moja kwa moja kwenda kwa kampuni husika. Kwa vyovyote vile fedha hazikupitia mikononi mwangu, lakini hata hivyo mikataba na malipo vyote viko sawa kabisa. kwa hiyo kama kwa ndugu yangu huyo hapo ndo anatafuta kashfa za kulazimisha amepotea njia.Jambo la pili, kama kuna fedha zozote zimeibiwa na mtu yeyote ndani ya chama, vikao vya chama ndiyo huwasilishiwa hoja hii na ushahidi wake kisha vinafanya maamuzi. Kama kuna ubadhirifu wowote wa fedha haisemwi kwa maneno tu, atuwekee hapa helikopta ilikodiwaje, fedha zilipitia kwa nani na nani alikula ngapi, asiseme kirahisi namna hiyo. All in all details za maswala yote haya chama ndo kitayatizama na kuamua. Hadi tunajibu hoja hizi zisizo na mweleko wala ushahidi wowote katika mitandao ni kwa sababu tu wachache miongoni mwetu wameacha misingi ya kuhoji masuala ya chama vikaoni, wamechanganyikiwa sasa wanahyahoji kwenye vyombo vya habari. Chama kitawarudisha kwenye mstari na kwa hakika chama kitatangulia kwanza na maslahi ya mtu mmoja mmoja yatafuata nyuma yake. Juzi zilitolewa hoja mara ooh.... mtatiro bado mdogo,.......mara ooh...amejiuzia magari, mara.....ooh amekula 500 milioni...... mara ooh amekula pesa za helikopta. Hizi zote ni njia za kunirudisha nyuma katika ninachokisimamia. Nitasimama kidete na umri huu huu unaoitwa mdogo, nitaongoza chama changu kwa sababu ndilo jukumu nililokabidhiwa na wanachama wenzangu hadi pale nitakapoacha mwenyewe au vinginevyo. Nataka kusisitiza akuwa kinachoingoza CUF ni katiba, na iwapo kiongozi yeyote anavunja katiba waziwazi na anataka kuvunja chama na kukiua, sitosita kusimama na kusema fulani unataka kuua chama, fulani umeasi. Sitaogopa propaganda zozote ambazo zitatengenezwa juu yangu kwani najua hazitapata ushahidi hata siku moja. Nina moral authority ya kuongea haya! Ninarudia tena, NINA MORAL AUTHORITY YA KUSEMA HAYA, NA SINA WASIWASI WOWOTE, NAJIAMINI, SIJAIBA HATA SENTI TANO KATIKA CHAMA CHANGU, NA HATA SIKU MOJA HAITATOKEA MTU AKAJA NA USHAHIDI HUO, HUYO ANAYETOA SHUTUMA HIZO AKAPUMZIKE ATULIE, KUZEEKA KWINGINE NI KUBAYA MNO. ASITAFUTE MTU WA KUFA NAYE.Mie nilijiunga CUF peke yangu na nimefika hapa nilipo bila kubebwa wala kumtumikia mtu, Na ninaahidi kwa uwezo mungu nitakwenda mbele au nyuma bila kutegemea msaada wa mtu wala kubebwa.Nasimamia maadili ya chama, utamaduni wa chama changu. Kila kitu kitajulikana mbele ya safari, tutajua pumba na mchele, tutajua nani anasema ukweli na nani anadanganya, tuupe muda nafasi.Julius Mtatiro

JULIUS uongozi ni dhima na dhamana kubwa kwa wanachama wa chama chenu waliokupa wewe na ukakubali,kumbuka siku uliyo kubali ulikubali mambo mengi ya uongo na ya kweli yawe yako,sasa changamoto uliyo nayo ni kuonyesha kwa vitendo ya kuwa hili ni pumba na hili ni mchele,utakapo toa kauli yoyote ya kuonyesha unajitetea kusiko rasmi utakuwa umeingia kwenye mtego ambao hata kama utakuwa umesimamia haki utapoteza nguvu ya kutaka haki hiyo itekelezwe,mi najua kila kitu kina taratibu zake za kufuata ili ukipate kitu hicho, kwa utaratibu unaokubalika na misingi iliyowekwa.....isipokuwa jambo hili la kufata taratibu zinazotakiwa kufuatwa limekuwa ni gonjwa la binaadamu yoyote hasa likiwa ni jambo la uongozi,kuna wakati linatokea upande wa kiongozi ambaye yuko madarakani na hataki kuachia nafasi kwa urahisi ataweka vijambo vya kila aina ambavyo ukweli vingi vinakuwa na madhara kwa yule anaye onyesha kugombea nafasi kwa kuwatumia wanachama na viongozi ambao wanamkubali ,matekeo yake yana zaa timu ndani ya timu.kwa upande wa mwenye nia ya kugombea nafasi ya uongozi wowote ambayo mwenye dhamana hiyo yupo na anaonekana kutaka kuendelea, hapa HAMAD RASHID anatakiwa afuate taratibu ambazo zinakubaliana na hali hii,Iman yangu Hamadi Rashid anajua zaidi kuliko mimi, kuhusu taratibu ni gani sahihi na si kwenda tu kwa dhana ya mazoea,hatari yake ni kama hiyo iliyotokea haipendezi hata kidogo.labda ni mkubushe hasira za wanachama zilizo muadhibu abdallah safari zilimpelekea awe aidol wa CHADEMA,Lakini kwa jinsi ninavyo mjua hamdi rashid uzembe alioufanya safari yeye hawezi kujaribu hata kidogo, nahisi katika harakati zake hizi za kuutaka ukatibu washauri wake ndiyo siyo wazuri na matokeo yake wanampeleka mtu anayetaka ukatibu wa zaidi ya matawi Elfu tano na ushehe ya chama chake kwa maana katibu mkuu wa chama taifa huu si ushauri sahihi tegemea kila tawi litataka lifanyiwe kama tawi la manzese jibu hataweza na kwanini anafanya jambo ambalo linaonekana kuwa ubaguzi wa kutatua matatizo yaliyoko ktk matawi ya chama nchi nzima.MTATILO wewe ni kiongozi mkuubwa ktk chama tahamaki time imefanya HAMAD kuwa katibu mkuu ambaye ni bos wako sasa nani atabaki ofisi.CUF ITATOKA KTK NJIA YA KUSHIKA DOLA NA DHAMBI HIYO ITAKITAFUNA CHAMA TANZANIA NA ZANZIBAR,
 
Huwa nashindwa kumuelewa Hamad Rashid anaposema CUF Tanzania bara imekufa! hivi kuna mpemba yeyote Dunia hii anayeumizwa kichwa kuhusu Tanganyika? Siamini hilo.
Namkumbuka sana huyu Mzee Hamad Rashid na kauli yake kwamba "Hatuwezi kuwaachia shamba nguruwe (CCM ) wale peke yao ni lazima tule wote"
 
Roho ya ubaya wa kuichukia CDM inawasumbua sasa, mpaka wamrudie Mwenyezi Mungu na kutubu kuwa waliwakosea CDM. Inafurahisha kuona sasa mambo yananoga NCCR, CUF na mume wao CCM wakiweweseka na bado....

Ndugu zangu wanaJF, bila kujali dini, hii Tanzania tutapiga makelele lakini hatutaweza kupata demokrasia au kuijenga nchi yetu kama hatutashikana na kuiondoa CCM madarakani, hata kwa muda wa miaka mitano tu, ili kujiandae tena kuingia madarakani. Hawa viongozi wetu hawatabadilika kama hawataona mabadiliko yetu. Hawa viongozi wameshajua udhaifu wetu ndio maana wanatutania na kutuchezea tatizo lipo kwa ndugu zetu waislam, tubadilike tuwe na nguvu moja ili tuibadili katiba na Tanzania yetu tunayoipenda iweze kuwa huru.
 
Huwa nashindwa kumuelewa Hamad Rashid anaposema CUF Tanzania bara imekufa! hivi kuna mpemba yeyote Dunia hii anayeumizwa kichwa kuhusu Tanganyika? Siamini hilo.
Namkumbuka sana huyu Mzee Hamad Rashid na kauli yake kwamba "Hatuwezi kuwaachia shamba nguruwe (CCM ) wale peke yao ni lazima tule wote"

Ni vigumu kukuelewa una maana gani,Hamd Rashid unamshangaa kwa kauli yake,Hapo hapo unashukuru,Lakini kibaya zaidi unatumia kauli ya ubaguzi ya WAPEMBA GANI WAMETETEA KURUDI KWA TANGANYIKA kwa kauli yako unaonyesha unadata za kupachikwa kama flash katika cpu,MOJA YA SERA YA CUF NI SERIKALI TATU, ambazo ni TANGANYIKA'ZANZIBAR,na TANZANIA,Haya rudi kwenye kauli yako ya ubaguzi iliyopitwa na wakati,viongozi wa CUF wenye asiri ya pemba wako wangapi wa bunge la jamuhuri na baraza la wawakilishi zanzibar ambao kila siku wanatetea sera ya kutaka tanganyika irudi baada ya kufutwa na serikali ya tanganyika ugonjwa wa kwako unamlaumu dokta anayekutibu utakufa na yeye utamuacha hai kama sasa hivi zanzibar ipo tanganyika imekufa,lakini inaishi kwa uhai wa sherehe za kila mwaka, na juzi si umesikia MIAKA 5
YA UHURU WA TANGANYIKA..... HE TANGANYIKA IKO HAI NA IMEFIKISHA MIAKA 50.....SASA ILE ILIYOKUFA MWAKA 64 NA KUZALIWA TANZANIA INAISHI WAPI WAKATI WOTE HUO NA KUJA SIKU YA TAREHE 9/DEC.wakati muda mwingi watanganyika tunaishi na tanzania ambayo leo hii ina miaka 46 toka izaliwe ki karata tatu.kijana toa hoja za utafiti hata kama umezaliwa miaka ya jioni.ahsante
 
Hii ndio shida ya kuandika huku unajamba jamba akili yote kwenye posho za Lowasa, ni wapi katika bandiko langu nimezungumzia suala la serikali ya Tanganyika?
Mijitu mingine hovyo kweli kweli, mimi nilichosema siamini kama kuna Mpemba ambae anaumizwa kichwa na mambo ya Tanzania bara ( Tanganyika) usichoelewa ni nini hapo?
Ndio maana idadi ya ufaulu wa wanafunzi inashuka sana kwa sababu ya watu wenye vichwa vigumu kama nyinyi.
 
Anajamba jamba kwny posho za lowassa hahah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom