Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,349
- 1,224
Ulidhani Lipumba ni mwanasiasa, Lipumba ni mmoja wa wanasiasa watakaohukumiwa na historia kwa kuchelewesha na kudumaza demokrasia nchini kwa kuwapumbaza wananchi kuwa anapigania haki kwa kugawa kura za wapinzani kwa miongo mitatu.
Lipumba ni mrithi wa Kigoma Malima. Hayo mambo ya udini kwenye siasa?
Look at him: wakati wapinzani wote wakisusa, yeye anakwua mstari wa mbele kupongeza serikali
Ni kawaida kwa wanasiasa kama yeye kuangalia which side of their bread is bettered!