Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,645
...Hata mimi huwa nampenda sana na haonyeshi kuzeeka. Hivi si lijifungua mtoto mwaka huu au ni mwaka jana?? alinivutia sana alipocheza filamu ya " The rich man's wife" kama mrs Potenza alikuwa hot sana kwenye ile movie!!!:bathbaby:
Hahahahaaa....hivi wewe unaijua Holyweird au huijui? Eti haonyeshi kuzeeka.....hawa watu wa Holyweird you can't put anything past them.
Kuna kila aina ya mazagazaga siku hizi - kuna botox, nosejob, facelift, pussy injections, butt injections, breast lift, lip augmentation....yaani wewe acha tu. Hakuna watu kule....kuna mifano ya watu.
Wengi wa hawa waigizaji wamefanyiwa kazi i.e. plastic surgery