Halle Berry

...Hata mimi huwa nampenda sana na haonyeshi kuzeeka. Hivi si lijifungua mtoto mwaka huu au ni mwaka jana?? alinivutia sana alipocheza filamu ya " The rich man's wife" kama mrs Potenza alikuwa hot sana kwenye ile movie!!!:bathbaby:

Hahahahaaa....hivi wewe unaijua Holyweird au huijui? Eti haonyeshi kuzeeka.....hawa watu wa Holyweird you can't put anything past them.

Kuna kila aina ya mazagazaga siku hizi - kuna botox, nosejob, facelift, pussy injections, butt injections, breast lift, lip augmentation....yaani wewe acha tu. Hakuna watu kule....kuna mifano ya watu.

Wengi wa hawa waigizaji wamefanyiwa kazi i.e. plastic surgery
 
nimeangalia autobiography ake kwenye channel a E! Entertainment. hakuna mastaa wasio na kasoro. wengi pia hufikia wakati wakataka kujiua. huyu mwanamama aliteswa sana na baba yake alipokuwa mdogo kiasi kwamba hata alipofariki hakuwa na shauku ya kuhudhuria mazishi yake. alipotaka kujiua alimfikiria mama yake akaona hana sababu ya kufanya hivyo. kimapenzi bado hajawa na msimamo maalum maana akutanapo na mpenzi mpya husema anaamini kakutana na mpenzi wa kweli. alimshutumu yule bwana wake mwanamuziki kuwa ni sex addict. hata mi ningekuwa addict kwa Halle. sasa yuko na mwanamitindo ambaye wamezaa nae
 
Hahahahaaa....hivi wewe unaijua Holyweird au huijui? Eti haonyeshi kuzeeka.....hawa watu wa Holyweird you can't put anything past them.

Kuna kila aina ya mazagazaga siku hizi - kuna botox, nosejob, facelift, pussy injections, butt injections, breast lift, lip augmentation....yaani wewe acha tu. Hakuna watu kule....kuna mifano ya watu.

Wengi wa hawa waigizaji wamefanyiwa kazi i.e. plastic surgery

nilikuwa nafikiria hayo kwani huwa nayaona kupitia Dr. 90210 ila kwa Halle sidhani maana ni mzuri toka mtoto
 
nilikuwa nafikiria hayo kwani huwa nayaona kupitia Dr. 90210 ila kwa Halle sidhani maana ni mzuri toka mtoto

Aaah wapi....unajuaje kama hafanyiwa nosejob au breast augmentation au kama hajadungwa botox? Uzuri toka udogoni si hoja...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom