TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 996
- 1,508
Mawella Social Hall pale Sinza, kuna kituko cha Sodoma na Gomora kinakwenda kufanyika usiku wa kuanzia saa sita leo. Wana upinde wamekodi ule ukumbi kwa ajili ya shughuri hiyo, hata ukisogea sasa utaona magari ya kifahari yanaongia na kishusha wapiga miti.
OCD Kinondoni chukua hii.
OCD Kinondoni chukua hii.