Blue berries, ni moja ya matunda ghali sana

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,915
Blue berry huwa ni ghari sana, na ni pendwa sana, na ni moja ya very expensive fruits kwa Tanzania, na nadhani ni kwa sababu inalimwa na wakulima wachache sana.

Mfano kwa Kenya nadhani ni Kakuzi pekee analima na kama kuna mwingine basi ni mmoja au wawili, Tanzania kuna Mzungu alikuwa analima kiasi fulani, ila enzi za Jiwe huyu Mzungu alinyayua mikono akasepa na nadhani alifyeka miti yote ya Blue berry.

Blur berries inaweza limwa maeneo yenye baridi pekee kama Arusha, Iringa, Njombe na Mbeya na pia Kilimanjaro. Ni moja ya matunda pendwa mno na Wazungu kwenye top 5 yao ya matunda pendwa Blue berry inaweza kuwa ni top 1 na ndio sababu ya kuuzwa pia ghali sana.

Kwa sasa Blue berry inayoliwa Tanzania ni Imported kutoka Kenya ambako kilo inachezea Tsh 38,000/ hadi 40,000/

Kama uko Maeneo kama Mbeya, Iringa, Njombe au Arusha unaweza venture kwenye Blue berries, ni mmea pia unaoishi miaka mingi sana na inawahi sana kuanza kuzaa kama umetumia kijiti.

FB_IMG_1705822876374.jpg
FB_IMG_1705822850832.jpg
 
Niko njombe, soko la uhakika lipoje,. Nipe maelezo zaidi hapo
Fanya utafiti, nenda Dar sana kwenye masoko makubwa, waambie uko Iringa una shamba la Blue berries na unaanza vuna, sikia respind yao. usije waambia u afikiria kuanza kulima, wewe waaambie unalima
 
Back
Top Bottom