Halima Mdee...Tafadhali Sema Neno moja tu!

Status
Not open for further replies.
aje basi naanza kuhisi changa la macho
jana Halima kachangia ktk thread moja iliyokuwa inazungumzia tetesi ya Mbatia kufuta kesi,akathibitisha kwamba ni kweli kesi imefutwa kwa hiyo siyo tetesi bali ni kweli.
 
PJ

gonga hapa

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ta-kesi-dhidi-ya-halima-mdee.html#post3280967

Wadau, nikiwa kama mhusika mkuu kwenye kesi. Napenda kuwahakikishia wanajamii pamoja na watanzania kwa ujumla kwamba Uamuzi wa mhe Mbatia wa kiuifuta kesi dhidi yangu ni dhamira yake njema ya kulinda maslahi mapana ya upinzani nchini. Nimesoma comments za wanajamii kadhaa ,baadhi yao wakifikiria labda kuna 'chochote kilichotolewa''ili kufanikisha kufutwa kwa kesi hiyo . Niwahakikishieni kwamba hakuna kilichotolewa zaidi ya nia njema ya pande zote mbili. Kwa waliokuwa wakijipanga kukomboa jimbo kwa gharama yoyote imekula kwao!

Najua mengi yatasemwa...lakini haiwezekani kuzuia binadamu kuzungumza. Nichukue fursa hii kuwashukuru kwa dhati timu ya CHADEMA (chama changu) na NCCR MAGEUZI kwa kulifanikisha hili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom