Medical Dictionary
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,060
- 309
kibonde yupo.??
Mkutano wa MAGAMBA pale Chadema Square utakuwepo?
Duhh, nilifikiri Crashwise, Kumbe Ritz, ngoja nitoke humu.
kibonde yupo.??
Badala ya kulezea kero za Kawe hatazitatuaje yeye anaongelea mambo ya Africa Mashariki tu.
Mkutano wa MAGAMBA pale Chadema Square utakuwepo?
Upo source: Channel ten news NOW!
Badala ya kulezea kero za Kawe hatazitatuaje yeye anaongelea mambo ya Africa Mashariki tu.
Bwana Kibonde?Niliacha kuisikiliza hiyo Redio baada ya kuushawishiwa na Bwana Fulani, Namsubiri aje anishawishi tofauti.
Badala ya kulezea kero za Kawe hatazitatuaje yeye anaongelea mambo ya Africa Mashariki tu.
Clouds wanaendana na upepo! Hawajakaa upande mmoja!Clouds niliacha kusikiliza nilivyomsikia PJ&co walivyokuwa wanampigia kampeni masamaki wa mwaloni.CLOUDS ni magamba fulll!