Ingekuwa mwana CCM tungeambia Clouds ni CCM
Mkuu wangu ni kweli kabisa.
Halafu Mkuu Mungi unajua ritz yupo kama yule mheshimiwa wa Bahi haachi kitu hata akisikia Nape anatoa mia yupo Radhi ajidhalilishe kwenye Magamba tu
Kwani kiswahili ulisomea wapi mkuu?Badala ya kulezea kero za Kawe hatazitatuaje yeye anaongelea mambo ya Africa Mashariki tu.